Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,494
nimekosa kutufe cha thanks kimepotea tena
Mkuu kipo sema ni zile roho zetu za akina MUKAMA!
nimekosa kutufe cha thanks kimepotea tena
May Pdidy soul rest in peace incase of death. Mine too. And all JF members rest in peace and not in pieces.
Sijapata alofariki labda tusubiri tu wataoangalia habari manake watu wameishia kuchat tu wala hatuna uhakika alofariki ni nani!
Du hili si jibu la kistaarabu, kama ni Mkweo hapa Mke basi!ulienda kumtafuta sehemu gani?
mkuu naona umemwgia petroli kabisa, genekai ni ndugu yangu hawezi kuni mindDu hili si jibu la kistaarabu, kama ni Mkweo hapa Mke basi!
huyu seki ni nani lakini? even if sio yeye aliyerest in peace watu tupo interested kumjua hapa
huu utani sio mzuri jamani jamaniR.I.P Preta !
umeona eeeh.....we waache
ulienda kumtafuta sehemu gani?
Mhhhhh..............Shemeji,mbona naona R.I.P nyingi.......Nilivyoona R.I.P Preta nimestuka aisee
za sa izi wajamen, ivi hapa mnadiscus nin eti?
MKUU FINEST UKIONA MWENZIO ANANYILEWA TIA MAJI..MMH HIZI AJALI KAMA KWELI MBONA ZITATUMALIZA ..UBAYA WALIKUWA MIKONI MWA MWA MWA dddaaadaaaaadaaaaaahHHHHH
RIP SEKI
AISEE YAANI NAUMIA ZAIDII KUNA MASHORI ALIKUWA AKIWATUNGUA PALE KIMARA MWISHO SIJUI KAMA ALIBAHATIKA KUWAACHIA HATA KAMIMBA CHA BAMBIKIZA TUJARIBU KUKALEA SEKI TULIOBAKI
SO SAD HANDSOME SEKI AUKO NASI KIMWILI TWAAMINI KIROHO UKO PAMOJA NASI ......YAANI NIKISOMAGA RIP MWILI WASISIMKA MAANA UJUI UKO KUKOJE NA AKUNA ALIERUDI KUTABALISHA