Ze Komedi wapata pigo...

May Pdidy soul rest in peace incase of death. Mine too. And all JF members rest in peace and not in pieces.
 
Sijapata alofariki labda tusubiri tu wataoangalia habari manake watu wameishia kuchat tu wala hatuna uhakika alofariki ni nani!
 
Nimeoteshwa, members wote wa JF will BURST INTO PEACE cku moja! Wacha nisubir Babu wa Loliondo ataje cku hyo.! Amesema kesho anakuja hapa NY... Eti usku ili awah kurud,loh
 
"mimi ni sekioni davidson city sounds channel five" hayo ni moja ya maneno yake pindi akiwa mtangazaji pale eatv channel 5...
R I P SEKI...
 
huyu seki ni nani lakini? even if sio yeye aliyerest in peace watu tupo interested kumjua hapa

ndugu umeanza kuangalia tv juzijuzi nini...
alikuwa muigizaji,mtangazaji na mtayarishaji wa kipndi cha ze komedi na baadae komedi orijino..
 
ulienda kumtafuta sehemu gani?

Mkuu nilimaanisha kuwa nimeifuatilia hii thread ili nipate mwenye uhakika na alofariki wala sijapata uhakika wa alofariki wengine seki, wengine produser, wengine sijui mixer hata sijui, ndo maana angu mkuu!
 
Mhhhhh..............Shemeji,mbona naona R.I.P nyingi.......Nilivyoona R.I.P Preta nimestuka aisee

wacha tuu shem.......watu wana majungu sana kwenye hii dunia ya Mola.......mimi bila 95 wallah siendi mahali.......potelea mbali hata nikiwa natolewa nje kuota jua
 
za sa izi wajamen, ivi hapa mnadiscus nin eti?

za saizi ni nzuri......hapa tunadiskas mambo ya hood, pikipiki, ze komedi, rip na kazalika.......unaweza kuchangia kama utapenda
 
dahhhh hizi ndo habari za Jtano kwa kweli
OK R.I.P Wote mwenyekiti utujulishe rambi rambi wapi tupeleke ....
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
MKUU FINEST UKIONA MWENZIO ANANYILEWA TIA MAJI..MMH HIZI AJALI KAMA KWELI MBONA ZITATUMALIZA ..UBAYA WALIKUWA MIKONI MWA MWA MWA dddaaadaaaaadaaaaaahHHHHH
RIP SEKI

AISEE YAANI NAUMIA ZAIDII KUNA MASHORI ALIKUWA AKIWATUNGUA PALE KIMARA MWISHO SIJUI KAMA ALIBAHATIKA KUWAACHIA HATA KAMIMBA CHA BAMBIKIZA TUJARIBU KUKALEA SEKI TULIOBAKI
SO SAD HANDSOME SEKI AUKO NASI KIMWILI TWAAMINI KIROHO UKO PAMOJA NASI ......YAANI NIKISOMAGA RIP MWILI WASISIMKA MAANA UJUI UKO KUKOJE NA AKUNA ALIERUDI KUTABALISHA

seki hajafa aliyekufa ni mtu tofauti! nimebahatika kuonana nao ze komedi wote katika msiba wa kaka yake na mwenzao joseph shamba au vengu pale amana hospitali.wakiwa joti masanja mpoki na seki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom