Ze Komedi wapata pigo...

Wakukundi waore kindu keamba kpsa ulawenenge ma umu preta nuichuo inyi tupu
 
ukweli ni kwamba kikundi cha the original comed wamefiwa na fundi wa pa (sound man) wao ndg. Mohamed muya aliyepata ajali ya pikipiki. Seki yupo salama. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu m. Muya mahali pema peponi. Amen

atailazaje ya mamuya pekeyake mwambie airejeshe na ya seki uoni jf wameshamuuua tangu saa 02:27pm
 
Dear mdogo wangu seki
kwanza polen sana snaa na matatizo yaliokupata binafsi nafuta rip zote kwa niaba ya walioandika iila haya maneni unatakiwa ukayafute kwa maombi aijalishi dini gani..kumbuka walioandika ni roho na kam utakaa kimya utaniambia...rip sio za kuchezea kumbuka kuna wanauza misalaba ukinunua wanakwambia karibu tena wanaouza majeneza wanakwambia karibu tena hizi zote ni roho zinaongea na zinasikia

nenda kwamwombe mungu wako afute haya maneno na waliokuandika wakasmahewe maana wengine wamepandia gari kwa nyuma bila kuwa na uhakika binafsi najua uko wapi nilianza kuwapa vionjo kidogo ikitokea nani wa kufikiria zaiidi

all the best

longer life br
 
Back
Top Bottom