Hiyo cloud tv ni ya nchi gani!!??Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
Haaaaaaaaaaaaaaaa niite masanja mjanja kigamboni nina kiwanja naenda kwa nguvu ya mungu situmii ganja wera weraaaaaaaaaaaaa sitoi bila ya helaaaaaaaaaa wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ving'amuzi vinaishia kibaha kumbe??! nilikuwa sijuiClouds tv..mwisho kibaha! Safari yao imefika kikomo!
Haaaaaaaaaaaaaaaa niite masanja mjanja kigamboni nina kiwanja naenda kwa nguvu ya mungu situmii ganja wera weraaaaaaaaaaaaa sitoi bila ya helaaaaaaaaaa wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sikohoi nabanja
Hao walisharambwagwa,waliondoka ITV kwa tamaa ya pesa na kufuata mkumbo wa ugomvi wasioujua (Manji na Mengi), hakika hawana jipya kilichobaki wameshaanza kujichimbia kaburi.Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
sikohoi nabanja
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!