Ze Komed orijino wapo mbioni

Ze Komed orijino wapo mbioni

[SUP][SUB]Kweli nimegundua, "adui yako mwombee njaa"[/SUB][/SUP]
 
kwani mkataba wao tbc umeisha?ccm kweli hawana rafiki
 
hivi watu bado wanaendelea kuwaangalia vilaza hao
 
Nikushukuru wewe mama mkwe uliyekuja kusuluhisha ugomvi wa mwanao na mkweo na ugomvi ukaisha ila umehamia jumla jumla na unawatch orijino comedy
Nikushukuru wewe beki tatu uliyeacha maharage yakaungulia jikoni na ukaamua kuwatch OK.

Kazi kweli kweli
 
Nikushukuru wewe mama mkwe uliyekuja kusuluhisha ugomvi wa mwanao na mkweo na ugomvi ukaisha ila umehamia jumla jumla na unawatch orijino comedy
Nikushukuru wewe beki tatu uliyeacha maharage yakaungulia jikoni na ukaamua kuwatch OK.

Kazi kweli kweli

Hahahaah!! Kumbe wewe ndio Masanja.
 
maranja anasemaga kama nimekukera leave me alone, ndio mana wengi wanawacha peke
 
Sasa Manji siawaonee huruma??Unacheza na TBC??TBC walimumwaga Tido Mhando wana maana hao!!
 
kuchekesha watu kazi hasa waliokata tamaa kama wabongo. mimi vijana hawa nawakubali sana ila wangebadilisha staili ya kuigiza. Vijana hawa karibu wote ni role models wangu. Kina Joti msikate tamaa siku zote shukrani ya Punda ni Mateke. hata kama watu wanawaona mmefulia tupo tunaowapenda na kusema kweli ninyi ni ORIGINAL wengine PHOTOCOPIES. Waweja mwanangu Masanja.
 
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
Hawa jamaa wa ze original comedy wanachangia sana kueneza tabia za kishoga hapa tanzania,mfano mijibaba mizima unaikuta imepaka lipstiki na wanja na cha kushangaza vyombo husika havikemei huu uchafu
 
Wakienda clouds!!!hawatochuja kwani pale ndo kituo cha vijana kuwa katika peak muda mwingi
 
Wahenga walisemaaaa chumbila tinonkule chumbi waaarakukuruuuaa siiihi maana yake kila ajikwezaye hushushwa...!
 
Back
Top Bottom