Ze Komed orijino wapo mbioni

Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!

si nilisikia wapo likizo eti ya mwezi mzima tokea January lakini sioni kama wanarudi TBC sasa kama vile imedhihirika kuwa kweli walipigwa chini TBC??naomba mwenye taarifa atujuze
 
Coverage yao kitaifa itawapunguzia umaarufu kwani ni mikoa michache tu. Wamefuliaaaaa
 
Wanitafute niwape kazi ya kuchekesha wagonjwa wa akili.
 
wasanii wote waliowahi kuambatana na ccm wamekufa kisanii, ccm inalaana, ukiambatana nao umeungua
 
Hapo kwenye red kipi ambacho hatoi bila hela??


Wera wera si unawajua wale watu? Si ndio hao sasa hivi wanaitwa kanga moko laki si pesa,mwanzo walikua wanajiuza ghetto kinondoni,so ukienda kwao hawakupi nucta mpaka utoe pesa
 
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
...wanasubiriwa kwa hamu.sitashangaa siku nikisikia Ruge na Kusaga "wanawadhulumu" mapato yao.:wink2:
 
kupanda na kushuka ni sehemu ya maisha,kufanya makosa ni sehemu ya maisha.
Ni vema mkawapa moyo zaidi badala ya kuwasimanga.unajua shida humfamya mtu ajifunze kutorudia kosa hivyo nina imani na wao wamejifunza vya kutosha
 
Back
Top Bottom