Kwanini waandishi wa habari wakati wa press conference hujaza microphone kibao mpaka zinakuwa kama kero kwa muongeaji na sisi watizamaji???

Mnyunguli

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,569
3,906
Naomba kujua je zile microphone ambazo huwekwa wakati wa press conference huwa na maana gani maana binafsi naona zinakuwaga nyingi mpaka kero kwa mimi mtizamaji na tena ukisoma majina ni vi-online TV uchwara ambavyo havijulikani.

Hii ina maanisha ni vyombo vya habari vidogo na hii hupelekea hata press kukosa uzito tofauti na zikiwepo microphone ya vyombo vya habari vikubwa kama ITV,clouds,JF(sidhani kama ipo),UTV,EATV.

Ukiniambia sababu ni ili kuoonesha uwepo wao kwamba wapo kwenye hiyo event.... nitakataa maana microphone zinakuwaga nyingi mpaka microphone za chini hazionekaniki.

Kwanini isikae microphone moja tu ili mzungumzaji aonekane vizuri.kwa sababu lengo si habri ifike.

Ahsante
20231115_093903.jpg
 
AhsanteView attachment 2814221
Wewe unapouchukia huo uchafu msemaji anapata mzuka na kusema yote kwakuwa anajihisi ni maarufu kupita yeyote
 
Kwani hizo mics huwa zimeunganishwa na vinasa sauti au video camera au huwa ni mapambo?

Kama zimeunganishwa, kwahiyo wakiweka mic moja, baada ya conference ndiyo waandishi wa habari waanze kurushiana kwa bluetooth ukizingatia mwandishi mwingine anakimbizana na muda?
 
Back
Top Bottom