ZBC waleta aibu Zanzibar!

ZBC waleta aibu Zanzibar!

Masikini ZBC imekufa kifo cha kujitakia kwa kujigeuza tv ya propaganda za ccm.
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

acha kutetea upumbavu,yani watanzania kama tulirogwa vile.
 
tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

hakuna lolote hii ccm tunaijua vizuri hata pale jangwani ikiwa ni vyama vingine vinataka kutumia uwanja wanaleta magumash......

Iondokeeeee
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

Wewe ni taahira chapa jogoo!
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.

We umetumwa na nani? Tabia yao iko hivyo sawa na TBC. Kujitoa fahamu hakujengi nchi, kunabomoa
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.

Wawe wamezima au hawakuzima makusudi hii ni juu yao na mitawi wao! Haina IMPACT yeyote maana CUF inajiuza wenyewe kwa wazanzibar wenye akili timamu na wala haihitaji kupigiwa kampeni kupitia kituo cha TV maskani!

Hivyo vitendo vya ZBC dhidi ya CUF havikuanza leo, we we na wao jiulizeni jee wamefanikiwa kuudhoofisha CUF!!????

KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA.
 
Kama CUF walilipia, wadai warudishiwe fedha zao. Lakini kama ni utaratibu tu ya kwamba matukio ya kampeni yanarushwa bure kwa sababu ni kituo cha umma, achaneni nao kwa sbbmwisho wa uzandiki hup ni 25/10/2015

Na next time, kama vyama vya upinzani vina matukio muhimu wanayotaka yarushwe live kwenye radio na televisions, fanyeni biashara hiyo na vituo huru na bora zaidi kama Azamu TV na ITV hata StarTV sometimes wazuri tu kwa matangazo ya live!!

Well said.
 
Wawe wamezima au hawakuzima makusudi hii ni juu yao na mitawi wao! Haina IMPACT yeyote maana CUF inajiuza wenyewe kwa wazanzibar wenye akili timamu na wala haihitaji kupigiwa kampeni kupitia kituo cha TV maskani!

Hivyo vitendo vya ZBC dhidi ya CUF havikuanza leo, we we na wao jiulizeni jee wamefanikiwa kuudhoofisha CUF!!????

KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA.

Watanzania tumechoka na mambo yao, hawajuhi kuwa ndiyo wanaongeza chuki kwa wazalendo?
 
Msihofu muda na.nyakati za majira zikifika awana chakufanya
 
Back
Top Bottom