ZBC waleta aibu Zanzibar!

ZBC waleta aibu Zanzibar!

mangonjoli

Senior Member
Joined
Aug 29, 2012
Posts
154
Reaction score
110
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.

Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?

Ni kitu cha kusubiri na kuona.
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.
 
Kama CUF walilipia, wadai warudishiwe fedha zao. Lakini kama ni utaratibu tu ya kwamba matukio ya kampeni yanarushwa bure kwa sababu ni kituo cha umma, achaneni nao kwa sbbmwisho wa uzandiki hup ni 25/10/2015

Na next time, kama vyama vya upinzani vina matukio muhimu wanayotaka yarushwe live kwenye radio na televisions, fanyeni biashara hiyo na vituo huru na bora zaidi kama Azamu TV na ITV hata StarTV sometimes wazuri tu kwa matangazo ya live!!
 
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.

Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?

Ni kitu cha kusubiri na kuona.

Uliegemea wakuonyeshe matangazo ya CUF??? Basi utakuwa hujui siasa za Tanzana ni za chuki.Na kwamba chama chenye haki ni chama tawalantu.Nyie wengine eti mtaleta vita....
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

Vyombo vyetu vya umma vinahitaji ukomboz, ili tuwe na fursa sawa ktk uwanja wa Democrasia hilo halina ubishi
 
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.

Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?

Ni kitu cha kusubiri na kuona.

Wanalipia kurushwa na muda wao wa kulipia ulikwisha.
 
Watasema ni Gwajima amedistabu megawati.
 
Km zbc ni ya serikali Makamu wa kwanza wa Rais zanzibar ni ccm? Si atawawajibisha km akiona hakukuwa na sbb ya maana
 
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.

Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?

Ni kitu cha kusubiri na kuona.

Ivi Zanzibar kuna Television?? sidhani kama kuna mtanzania anaiangalia hiyo ZBC labda kwenye maskani maskan za ccm.
 
Kuna Mahusiano Kati ya Kukatika Umeme Na Kampain za Wapizani Pia TV za Kitaifa.
 
ZBC ni shirika linajiendesha kibiashara. Kama CUF hawajalipia matangazo yao yarushwe live huna cha kulaumu. Na Kama wamelipiwa wana haki ya kudai chao na fidia ya usumbufu walioupata.
 
Back
Top Bottom