ZBC waleta aibu Zanzibar!

ZBC waleta aibu Zanzibar!

ZBC ni shirika linajiendesha kibiashara. Kama CUF hawajalipia matangazo yao yarushwe live huna cha kulaumu. Na Kama wamelipiwa wana haki ya kudai chao na fidia ya usumbufu walioupata.
ZBC ni Shirika la uma. Ni television ya Taifa kama TBC1 . wanatakiwa kuonyesha mikutano sawa kwa sawa. Nakumbuka mhariri wa Gazeti la Zanzibar Leo ambalo ni la serikali kama lilivyo Habari Leo. alifukuzwa kazi uchaguzi wa mwaka 2010 kisa alikuwa anatoa pia habari za Maalim Seif kwenye gazeti la serikali. Hii ndio Zanzibar tunayoijua.
 
Kama CUF walilipia, wadai warudishiwe fedha zao. Lakini kama ni utaratibu tu ya kwamba matukio ya kampeni yanarushwa bure kwa sababu ni kituo cha umma, achaneni nao kwa sbbmwisho wa uzandiki hup ni 25/10/2015

Na next time, kama vyama vya upinzani vina matukio muhimu wanayotaka yarushwe live kwenye radio na televisions, fanyeni biashara hiyo na vituo huru na bora zaidi kama Azamu TV na ITV hata StarTV sometimes wazuri tu kwa matangazo ya live!!

Huko unakokwenda Kwa ITV na Star TV , CCM wakikushtukia huzima umeme kesi kwa Gwajima na ma Crane yake Tehtehtehhhh
 
Ivi Zanzibar kuna Television?? sidhani kama kuna mtanzania anaiangalia hiyo ZBC labda kwenye maskani maskan za ccm.
Tutake radhi kwa sehemu ya kwanza ya suali lako! na pia ufafanue kwa "Mtanzania" una maanisha watu gani ? au unadhani CCM si Watanzania?
 
sijawahi ku-search TV yangu nikakuta Tv inaitwa Zanzibar Television au hiyo ZBC, na hao ccm namaanisha labda ni kikundi cha watu tu kwa eneo maalum na sio world television ambazo ukiwasha Tv unapata habari za ulimwengu na matokeo mbali mbali duniani kama zilivyo tv nyengine ambazo zinakuwa huru katika kutoa habari bila upendeleo kutoka Taasisi fulani.

Nielekeze Zaidi niijuwe hiyo Tv yenu.
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

Ndio tatizo la kutokujitambua!!! Amka!!
 
sijawahi ku-search TV yangu nikakuta Tv inaitwa Zanzibar Television au hiyo ZBC, na hao ccm namaanisha labda ni kikundi cha watu tu kwa eneo maalum na sio world television ambazo ukiwasha Tv unapata habari za ulimwengu na matokeo mbali mbali duniani kama zilivyo tv nyengine ambazo zinakuwa huru katika kutoa habari bila upendeleo kutoka Taasisi fulani.

Nielekeze Zaidi niijuwe hiyo Tv yenu.
rica Edit
The first color television service in Africa was introduced on the Tanzanian island of Zanzibar, in 1973, using PAL. At the time, South Africa did not have a television service at all, owing to opposition from the apartheid regime, but in 1976, one was finally launched. Nigeria adopted PAL for color transmissions in 1974 in the then Benue Plateau state in the north central region of the country, but countries such as Ghana and Zimbabwe continued with black and white until 1984. The Sierra Leone Broadcasting Service (SLBS) started television broadcasting in 1963 as a cooperation between the SLBS and commercial interests. Coverage was extended to all districts in 1978 when the service was also upgraded to color.
 
Nimekuelewa ndugu kwamba Television yenu ndo imewahi kuazishwa tokea 1973 kwa Africa lakini mbona imekuwa ya mwisho kuliko hao walioanzisha baadae kwa Africa??

Kuna siku meli ya Mv Spice Islanders ilizama kule Zanzibar nilitarajia kuona yale matukio kupitia TV yenu iliyoanzishwa tokea mwaka 1973 lakini chaajab sikuona chochote badala yake niliona matukio yale moja kwa moja kupitia Aljazeer na CNN.

Ata ilivyozama ile Mv Skarget pia hatukuona huo mtambo wenu kurusha live kutoka huko Zanzibar.

Juzi kulikuwa na mkutano mkubwa sana wa uzinduzi wa kampeni kwa Chama cha Wananchi CUF pale kibanda maiti ambapo haijawai kutokea katika historia ya visiwa cya Zanzibar nilitarajia hiyo Tv yenu ilioanzishwa tangia mwaka 1973 itakuwa inaonyesha Live lakini nime search sana sikuona Tv inaitwa ZBC.

Ndo mana nimesema labda hiyo program yenu ilioanzishwa tokea mwaka 1973 itakuwa ni kwa ajili ya kikundi kidogo cha watu kule Zanzibar.
 
Well said.

Kiuhalisia ZBC ni shirika la umma ambalo linaendeshwa na KODI wanazokatwa wananchi sasa suala la kuwa CUF hawakulipa hilo halipo.

Kumbuka wananchi wanauhuru wa kupata habari kutoka kwenye chombo ambacho kuishi kwake kinategemea kodi wanazolipa wananchi ambazo serikali huwa haingalii nani kalipa awe ccm au cuf. Na ndio maana linapokuwepo baraza la wawakilishi linaonekana live kupitia ZBC hasa pale inapokuwepo hoja za kuisifia serikali ya ccm.

By the way M/Mungu akituweka hai 25/10/2015 ndio mwisho wa haya yote.
 
Nimekuelewa ndugu kwamba Television yenu ndo imewahi kuazishwa tokea 1973 kwa Africa lakini mbona imekuwa ya mwisho kuliko hao walioanzisha baadae kwa Africa??

Kuna siku meli ya Mv Spice Islanders ilizama kule Zanzibar nilitarajia kuona yale matukio kupitia TV yenu iliyoanzishwa tokea mwaka 1973 lakini chaajab sikuona chochote badala yake niliona matukio yale moja kwa moja kupitia Aljazeer na CNN.

Ata ilivyozama ile Mv Skarget pia hatukuona huo mtambo wenu kurusha live kutoka huko Zanzibar.

Juzi kulikuwa na mkutano mkubwa sana wa uzinduzi wa kampeni kwa Chama cha Wananchi CUF pale kibanda maiti ambapo haijawai kutokea katika historia ya visiwa cya Zanzibar nilitarajia hiyo Tv yenu ilioanzishwa tangia mwaka 1973 itakuwa inaonyesha Live lakini nime search sana sikuona Tv inaitwa ZBC.

Ndo mana nimesema labda hiyo program yenu ilioanzishwa tokea mwaka 1973 itakuwa ni kwa ajili ya kikundi kidogo cha watu kule Zanzibar.

Shida CCM. ASP kidogo iliwapa wanzibari matumaini mfano ujenzi wa maghorofa ya michenzani. Tangu kuasisiwa CCM nchi ipo kwenye auto reverse ndio maana wanzibari wanadai mabadiliko.
 
usikonde mkuu , tutafukuza wafanyakazi wote wa vituo vya taifa ifikapo novemba , hakuna namna .
 
Back
Top Bottom