Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,451
- 8,431
Naomba kusaidiwa jamani.
Je, mila na desturi zetu zinasemaje kuhusu mwanamke/msichana kumnunulia zawadi za nguo za ndani kaka yake?
Hivyo hivyo kwa mwanaume/mvulana kumnunulia dada yake zawadi ya nguo za ndani. Je, inakubalika?