Zawadi zenye utata

Zawadi zenye utata

Banaee tafuta zawadi nyingine..whether its right or not! shabash...
 
Mi nkipita pita mtaani nkaona boxer nzuri namchukulia my young bro,sioni mbaya hapo.
 
Mila na desturi hazina katiba, hazilingani baina ya jamii na jamii, kada na kada au koo na koo...

Kama kwa desturi ya watu wa kwenu ni sawa kufanya hivyo basi fanya, la hasha sidhani kama haya maswali yangelikuwepo hapa.

always you are an optimist! kheee!
 
Back
Top Bottom