Zawadi za harusi balaaa!!!!!!!!!!!!!

...hirizi inaweza kukukosesha amani kama huna dini ya kweli. ni tisha nyau za enzi ileeee.
 
Hahahahaaaa! Hivi bado kuna watu wanaogopa hirizi zinazopumua?! Niliwahi kusikia kuwa ndani huwa wamemweka chura au mjusi! Hapo ndo utajua wenye kumwamini Mungu wa kweli, unatupa huko mnaenda kula kuku-roast!!
 
Huu wakupelekeana zawadi kila mtu aone umetowa nini umepewa nini, ni umwanjomwanjo. Enzi zetu, ilkuwa hakuna huu upuuzi, maoana kwisha, anaekultea zawadi anakuletea kwako na si kwenye maholi. Mwenye gunia debe la karanaga, mwenye debe la maharage, mwenye gunia la dagaa, mwenye mkeka mwenye mbuzi, mwenye msala, mwenye jamvi, Haya. Anakuletea nyumbani na unaziona hapo hapo na unajuwa nani kakuletea nini. Hakuna sijui zimefungwa makaratasi sijui nini, ngoja tu kuna siku watu watapelekewa vichwa vya watu ndio mchezo utakwisha!
 
Haha... Miaka gani hiyo. We kumbe mzee kweli.. Loh!
 
lol,ukiwa bongo ni uchawi-zone,watu wanaamini wanaroga na kuna hofu ya kurogwa pia.nimekaa kwa watu sasa hivi nikisikia mambo kama haya hayanishtui kama zamani................ukiona hirizi ujue kuna mjinga mmoja ambae ANAAMINI anaweza kubadilisha chochote kuhusu maisha yako,kiukweli HAKUNA ANAYEWEZA KUFANYA LOLOTE KUHUSU WEWE ZAIDI YA WEWE MWENYEWE.ukitumiwa hirizi tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......................................................................................
 
kuna maharusi walipokuja kufungua zawadi zao wakakuta kuna zawadi moja ina hirizi ambayo kwa maelezo yao ilikuwa inapumua, wakaita watu na kuipeleka kwa mchungaji, wakafanya maombi na kuishia kuichoma moto. Maharusi raha ya ndoa imepotea tena. Kwasasa wanajaribu kuangalia mkanda wa video wakati wa zawadi ili wajue nani aliyetoa ile zawadi.

Haya jamani wale masingle kuweni makini na zawadi za harusi siku ya harusi yako.

kweli kabisa me nawaambia kuweni makini na zawadi maana zinatumiwa sana kuharibu ndoa kishirikina.me jirani yangu alitoa shuka kwenye harusi na huyo jirani ni kigagula bwana wacha mchungaji aje fanya maombi wacha aone shuka mungu alimwonyesha likaletwa likachomwa moto ndoa ilikwishaanza migogoro isiyo na sababu hadi unashangaa.nawashauri kuwenimakini na zawadi mnazopewa sio kila kitu kutumia.ikiwezekana mtu asilete zawadi iwe ni fedha tu.....mtu hana hela basi zawadi asitoe..
 
hii nimeona sana,kuna maharusi kama wawili nawajua walipewa zawadi sizo,mmoja alifungiwa pedi zilizotumika lakini wanaendelea vema na wanafurahia ndoa,mwingine walipewa zawadi ya gauni la mjamzito kuu kuu sana ,toka wamefunga ndoa mwaka 2008 mpaka sasa hawana mtoto!!nilijarbu kuulizia kwa watu wa dini,wakashauri ni vema zawadi kabla ya kufunguliwa ziombewe kwani sio wote wanawatakia mema wakati wa harusi yenu.
 
Haha... Miaka gani hiyo. We kumbe mzee kweli.. Loh!

Hakuna uzee wala ujana hapo, wewe uletewe uma, vijiko, visu vya kulia wakati kila siku unapika bada, inahusu nini? si bora mtu akuletee zawadi ya n'gonda. Tena nyumbani, sio kwenye hall, ujuwe haswa imeletwa na nani?

Mie Harusi yangu Mzee Ndesamburo alileta mbuzi 6 nyumbani, huyu Mzee wenu wa Magwanda. Hizo ndio zawadi. Msishangae! Marehem baba'ke Gozi langu walikuwa ni marafiki wakubwa na huyu mzee wetu.
 
mmmmh! Ndesamburo............ Sitaki kusema mie. ya kweli hayo........ tena wewe FF!!!!.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom