Mabwaku! Mjini kuna mambo! Asante fulani maana leo hii sijui ingekuwaje! Bwt hawa wadogo zetu Insta na Facebook wana timamu kweli!!!??? Au ndo kujitundika wazimu kujitia ukichaa? Uko na mtu wa aina gani hadi akupe gari! Lol Masikini kaka zetu hadi wauza magenge watadaiwa magari!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.