balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,864
- 15,729
Yaani Leo mmeniboa sana ,birthday ya Simba mnatuletea Fadlu
Wamenikera,nitaacha kwanza ushabiki kwa mudaHalafu pila la fadlu na pila la yanga ni mbingu na ardhi
Makombe Gani? Fadlu ana kombe Gani?Makombe yatamiminika msimu huu
Ataanzia kuyachukulia hapo hapo kwenuMakombe Gani? Fadlu ana kombe Gani?
Kwa msimu huu hilo wala halina ubishiSimba bingwa
Fadlu hawezi kuwa kocha wa kuipa Yanga makombe hata iweje.Wamenivunja moyo kabisaAtaanzia kuyachukulia hapo hapo kwenu
Isha chacha kwa sasa ni Simba 2-1 utopoloMods mnaniboa nitawapiga ban,mimi nimeandika 5imba nyie mmebadilisha mmeandika Simba nani kawaruhusu?