Zawadi yangu kwenu on Valentines day...

Zawadi yangu kwenu on Valentines day...

Thank you so much my dear KOKUTONA .
Ujumbe wako umenigusa sana.
Nimetamani sana siku hiyo nipate walau masaa kadhaa nitembelee japo wagonjwa wawili watatu.
Japokuwa nimebanwa, ila I pray nimalize shughuli zangu mapema au hata kuahirisha mambo mengine,
Kwani hiyo itanifariji sana moyo wangu.
Kwa yeyote atakaepata nafasi pia aweza kufanya hivyo huko alipo.
Amini nakwambia rafiki . . . upendo wako ni wa muhimu sana hasa kwa watu wenye uhitaji.

Ni mimi na wewe,
Ni sisi na jamii.

Mwenyezi Mungu na atujaalie wepesi wa moyo.
Ampe kila mmoja wetu kwa mapenzi yake.

mother-teresa-quotes-sayings-help-people.jpg
 
Last edited by a moderator:
Jamani sijui ni ushamba, mimi sio muumini kabisa wa hii kitu valentine, huwa nawashangaa tu watu wanavyohangaika na siku hii
 
View attachment 82915
Pamoja sana Kipipi, Kusaidia wahitaji ni ibada na baraka kuu regardless umesaidia nini. Mradi umetoa kwa moyo uliofunuka. Kutoa ni moyo.

Sisi tuna kikundi chetu tumesha arrange kufanya hivyo na tutatimiza, nimefurah kuona kumbe tuko wengi wenye moyo wa kusaidia wahitaji kwa vichache tulivyopewa na Mungu.

Be blessed Kipipi........Love u.
 
Last edited by a moderator:
Sisi siku ya Valentine tumekubaliana kubadilishana line za simu. Atachukua line yangu na yeye atanipa yake one day before, kisha kila mtu atakuwa kwake siku nzima, tutarudishiana the following day. Nadumisha upendo, naruhusu kupiga na kupokea simu. Acheni unafiki wa kupeleka vi maua tu, go further.

Good idea.......but it shows kuna kutokuminiana lol
 
Jamani sijui ni ushamba, mimi sio muumini kabisa wa hii kitu valentine, huwa nawashangaa tu watu wanavyohangaika na siku hii

Siyo ushamba ram, ni aina ya maisha ulopanga kuishi na si dhambi kabisa. Kila mtu ana mfumo wake wa maisha na vitu anavyovipa vipaumbele, so be easy.
 
Last edited by a moderator:
Jamani sijui ni ushamba, mimi sio muumini kabisa wa hii kitu valentine, huwa nawashangaa tu watu wanavyohangaika na siku hii

Siyo ushamba ram, ni aina ya maisha uliyoamua kuishi na vipaumbele ulivyojiwekea, so be easy m friend.
 
Last edited by a moderator:
heh, babu umestaafu wakati unawaza mapenzi 24/7?
Actually namuongelea coaligue. She doesnt treat me ok. Namtabasamia, namualika luncheon ananitolea nje. Mi nilifundishwa sande skuli tusiwekeane bifu. Nataka nimalizane nae valentine, bora tuue urafiki kuliko tuwe maadui.
Eti nini komando King'asti??

Haki ya nani dunia imekaa mguu sawa....

Heri yetu tuliokwishakombolewa kwa kustaafu....

Babu DC!!
 
heh, babu umestaafu wakati unawaza mapenzi 24/7?
Actually namuongelea coaligue. She doesnt treat me ok. Namtabasamia, namualika luncheon ananitolea nje. Mi nilifundishwa sande skuli tusiwekeane bifu. Nataka nimalizane nae valentine, bora tuue urafiki kuliko tuwe maadui.

Kweli King'asti umeshindwa kunichagulia linalonifaa??

Ahsante sana...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
....Valentines Day ni Upendo? Tuanzie hapa!

Koku habari za hapo ulipo. Hapa tunaanza kwaresma. Tuombeane na kuwafundisha watoto kusali. Kwaresma njema.
Ni jambo jema sana hilo.
Hapa nilipo kwena sana. Tutakumbukana kwa sala.
 
Back
Top Bottom