Zawadi yako Miss Chagga

Umeona eeh! Ni upepo tu, ukipita mbinu itarudi hewani na kuanza kutumika. Si unajua wabongo kwa kusahau (kujisahaulisha).

Tunajisahaulisha na sio kusahau maana kusahau inapotea kabisa mkuu Kanigini
Vijana wa bongo balaa mbinu zote zinatumika kufikia lengo lao bana

Vijana wa mujini kama Bulldog wao stail yao ni kufungua waleti mkuu Mr Rocky ni vijana wa kuwatazama kwa jicho la pili la sivyo wanaweza kuharibu boma!
Kibo10 najua sana aise vijana kama Bulldog ni balaa kwenye kufungua wallet yaani hawachelewi kuifungua haswa wanapokutana na mtoto mrembo kama miss chagga hujaona gear yake kaingia na ndinga kifuatacho ITV unafikiri kitakuwa ni nini mkuu
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red ndo mkuu Kongosho anaita Makaveli (End justify means).
 
Last edited by a moderator:
Ukikosa unabaki kulalamika, oooh, demu mwenyewe kicheche, anapenda hela sana etc.

Za mkosaji zile.

Umeona eehh kumbe umeishiwa swaga na wallet haina kitu cha kukufanya uongee vizuri
Kweli kabisa mkuu Kanigini
 
Last edited by a moderator:

Haha, miss chagga akija anakanusha vyote hvyo
 
Last edited by a moderator:

Ubinamu ulianzia kibaba na kimama na kujipikilisha.

Kama ndoano ningempiga na asingechomoa ila mipaka imezingatiwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…