Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Eti Mr Rocky anaogopa mende,ndo ikabidi akuite

Kifo cha mende hapo nakiogopa maana unaweza kufa kweli kama mende

mende? mende mende kweli au mende kifo cha mende?

mmmh!! kama kifo cha mende sawa!

kamzikeni!!:A S 13:
Excel umejuaje ushakuwa mtabiri wa Africa mashariki na kati nini wewe

We love eachother

Is there something wrong?

Hapana baba Paroko Eiyer nimepita tuu

Kulikoni?

Si unaona hapo napata kahawa na kuendelea kutype bado sijapata jibu la kukupa nikipata nitakuambia
 
Last edited by a moderator:
we jana ulikuwa wapi bana

leo siogopi sana

Jana nilikuwa na shughuli ya maombi makubwa hadi nikazima mchina wangu

Kama leohuogopi natuma jini lije likuogopeshe

Utaniita tu .......lol!!
 
Team...! Team ma...!

Team maombi! Hahahaa!

Sitakaa niamini if these are real prayers! Hahaa!


Bado unogopa?

Sema ili Baba Paroko aje kufanyia maombi hukohuko kabisa!!
 
Team...! Team ma...!

Team maombi! Hahahaa!

Sitakaa niamini if these are real prayers! Hahaa!

Kondoo wanahitaji maombi tena ya kukesha

Kwanini nisiwapatie?
 
Back
Top Bottom