Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Eiyer must be out of credit indeed! hivi kweli ataelewa lugha niliyoandika hapo kweli?

please mkuu, jitahidi tu kumtafsiria pole pole...! tufanyeje sasa ndo tushakuwa na ndugu mzigo!

Hii ni ishara ya stress

Hebu jaribi kunywa hata togwa huenda ikakusaidia!!
 
Hivi Excel anauza dagaa mbona aliniambia yeye ndo mmiliki wa Malaika Resort na Golden Crest Hotel na pia ana miradi kibao ya ujenzi Mwanza na hayo majengo marefu mjini ni ya kwake

Ni muuza dagaa maarufu sana
We njoo kirumba au mwaloni utamkuta!
 
Back
Top Bottom