Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

Last edited by a moderator:
paroko, paroko
angalia usile kondoo maana naona wanavyozengea kisu.

Baba Paroko hula madhabahuni
Hivyo chakula cha parokiani hawezi kukiacha
Hicho ni mali yake
Labda kisiwe chake .........!!!!
 
baba paroko usinipige mawe tafadhali

Baba Paroko hana makuu

Yeye ana deal na kondoo wake ipasavyo

Na anahakikisha kuwa wanapata chakula ipasavyo bila kupungukiwa!!
 
Back
Top Bottom