Bado nakusikiliza mkuu!!
Waooooooo!!
Nilikuwa sijui hili!!
Huyo kidudumtu ashindwe na alegee kabisaaaaaa!!!!!!!!!
Huyu muuza dagaa ana matatizo yake
Unajua mwanzo wa mwaka biashara ya dagaa huwa sio nzuri kabisa
Ana mastress sana huyu
Anatakiwa atulie!!
Eiyer must be in need of loan from me! basi tu anashindwa kusema dairekitile!Hivi Excel anauza dagaa mbona aliniambia yeye ndo mmiliki wa Malaika Resort na Golden Crest Hotel na pia ana miradi kibao ya ujenzi Mwanza na hayo majengo marefu mjini ni ya kwake
Eiyer must be in need of loan from me! basi tu anashindwa kusema dairekitile!
kijana dont trust that guy... ana sifa kama za dude wa bongo movie!
atakutembeza peku muda si mrefu..!
happy vwalentain mkuu!
Eiyer must be out of credit indeed! hivi kweli ataelewa lugha niliyoandika hapo kweli?
please mkuu, jitahidi tu kumtafsiria pole pole...! tufanyeje sasa ndo tushakuwa na ndugu mzigo!
akchuale! ahsante.. halafu usiseme valentinain.. sema vwalentain! hii ni ishara kwamba huna stress, pesa unazo za kutosha na familia uliyonayo imeshiba kila aina ya raha...!
tofauti kabisa na Eiyer!
Eiyer must be in need of loan from me! basi tu anashindwa kusema dairekitile!
kijana dont trust that guy... ana sifa kama za dude wa bongo movie!
atakutembeza peku muda si mrefu..!
happy vwalentain mkuu!
Kijana naona ulikuwa muimba taarabu kabla ya kuanza kuuza dagaaakchuale! ahsante.. halafu usiseme valentinain.. sema vwalentain! hii ni ishara kwamba huna stress, pesa unazo za kutosha na familia uliyonayo imeshiba kila aina ya raha...!
tofauti kabisa na Eiyer!