asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
kwa ethics za kidaktari ukimtibu mtu akapona hlf uhusiano wa dr na mgonjwa unaishia hapo ......so baada ya hapo mkikubaliana ni mwendo mdundo.AS mbona kama nimeshachelewa kutema mate?Hata mwezi haujapita tangu rafiki yangu aniambie daktari mwenzie anatembea karibu na wagonjwa wake wote wa kike.Sema nilisahau kuuliza wanachopata hao wagonjwa...
Sijui itakua ni dawa au huduma!?
hahahahahahaha! yap very ,huyo naye alikuwa haoni walowezi walivyokuwa wanagonga mwamba......yeye kasusa miye nale.......Hahahaha, nikujulishe mapema kwamba nilishaachika.
Still interested?
hahahahahahaha! yap very ,huyo naye alikuwa haoni walowezi walivyokuwa wanagonga mwamba......yeye kasusa miye nale.......
Kama wameridhiana wamegane ni haki yao hata katiba inasema. Kama dada ameamua kutoa takrima ya k**** kwa boss pasipo kulazimishwa kwa nn mnachukulia ishu kubwa?
Haki? kwa hiyo nitukipendana tu tayari tunatakiwa kuzawadiana? mmmhhhh?
Wanafunzi under age wanaweza kuridhia kumegwa?
Tukipendana in what context?
Labda nikuulize wewe ulizungumzia in what context, maana nilisema ni zawadi kati ya wapendanao (na nilimaanisha people involved in a love relation ambayo inaruhusu sex) wewe ukasema ni haki. Sasa wewe ulimaanisha haki kwa maana gani?Tukipendana in what context?
mkuu wanawake ni easy to handle ukishamjua yupo vp ,,,,jongea maskani nikupe darasa.Tangaza ni mzazi kama una ubavi wanawake wa dizaini hii noma utashikishwa sakafu kupiga deki.
Kwasababu sioni kupiga deki ni ajabu?
Labda nikuulize wewe ulizungumzia in what context, maana nilisema ni zawadi kati ya wapendanao (na nilimaanisha people involved in a love relation ambayo inaruhusu sex) wewe ukasema ni haki. Sasa wewe ulimaanisha haki kwa maana gani?
Wala haikua sababu.Mmeo alikuacha hii ikiwa ni moja ya sababu mi na ndevu zangu unikunamishe sakafuni napiga deki huku wewe unaangalia tamthilia alafu baadae nifue aaaaaah talaka ma vibao juu siku hiyo hiyo.
mkuu wanawake ni easy to handle ukishamjua yupo vp ,,,,jongea maskani nikupe darasa.
Ahhh Fidel achana naye, sijui mshahara hajapata christmass!!on my way there .lol!sorry, kumbe natakiwa ku-PM kwanza 4 more info.
hlf huyu fidel80 vp ,kwani utanipigisha deki kweli,lizzy?
Unachosema sawa, baadhi yetu kuna wanaume waroho walioanzisha mfumo huo, na bahati mbaya madada wanaotaka njia ya mkato wamejikuta ndiyo victims wakubwa wa mfumo huo. Ni hatari si kwahuyo anaye pata nafasi ama cheo kwa njia hiyo bali hata katika maisha yake na taifa kwa ujumla wake. Lakini kwanini yatokee haya? Ni kutokana na mfumo, watu wanatumia nafasi walizopata kuwanyanyasa waliochini yao, na pia kutokana na usiri uliopo, matukio kama haya yangekuwa yanafika katika vyombo husika na watu wanaotumia nafasi zao vibaya wakashikwa basi ingesaidia kupunguza hali hii. Alafu, kuundwa kwa ofisi kama za Afisa Mwajiri, Afisa Rasilimali Watu nako kumechangia hasa pale mtu huyo anapopewa madaraka ya kuwafanyia interviews watu akiwa na mamlaka makubwa bila kuangalia jopo. Any way, inasikitisha sana, tulipofikia ni pabaya!yote hayo n ni matokeo ya roho mbaya za wanaume kupenda kutumia udhaifu wa wanawake kujinufaisha kimwili. tuchukulie swala la ajira,suppose lizzy jinsi soko la ajira lilivogumu leo hii boss wa tbl hrm tena aseme anataka k katika wadada mia wangapi watakataa? maisha na wanaume ndo vinaharibu wadada.ila mimi namshukuru mungu toka la kwanza hadi chuo nilitumia akili yangu ata kazi yangu niliipata kiuhalali kabisa
ingawa watu hawaachi kuchonga ila ndo ukweli,
Kwa hiyo tukioana alafu uninyime nitakufanya nini? Au mimi nikikunyima utafanya nini?Haki kwa walioana. Kama tunapenda tuu bila kuona naweza kukunyima unyumba na unisifanye kitu.
Kwa hiyo tukioana alafu uninyime nitakufanya nini? Au mimi nikikunyima utafanya nini?
Inakua haki yako kivipi? Mi naona ni zawadi ya kupeana mkiamua.
Na it is so obvious to me hata nakosa argument za kujieleza hapa... lol
Kwa kweli binafsi naona kama ni tafsiri tu za 'wachungaji', vitabu vya dini havisemi kua ni haki. Pia kati yenu wenyewe mnajua hakuna cha kulazimishana. Na ukiona watu wananyimana ujue kuna kitu kingine nyuma. Mtu hawezi kuamka tu aanze kumnyima mwenzie zawadi nzuri kama hiyo, tena ya bure, hadi kufikia kwa hatua ya kualika baraza ili vizungumzwe. either anaumwa au anahasira, au anampa mngine etc.Kwani hujui kwamba kwa kukubali kuoa/olewa na mtu tayari unammilikisha mwili wako? Hata kwenye sheria za dini mme/mke anaweza kumshitaki mwenzake kwa kumnyima unyumba.Ndio maana wapenzi hua hawapelekani kwa viongozi wa dini/wazee kushitaki maswala ya unyumba ila wanandoa wanafanya hivyo.
Actually upo mstari wa biblia unaoongelea hilo swala na niliwahi kuunukuu humu humu, ngoja nikutafutie.Kwa kweli binafsi naona kama ni tafsiri tu za 'wachungaji', vitabu vya dini havisemi kua ni haki. Pia kati yenu wenyewe mnajua hakuna cha kulazimishana. Na ukiona watu wananyimana ujue kuna kitu kingine nyuma. Mtu hawezi kuamka tu aanze kumnyima mwenzie zawadi nzuri kama hiyo, tena ya bure, hadi kufikia kwa hatua ya kualika baraza ili vizungumzwe. either anaumwa au anahasira, au anampa mngine etc.
Kwa kweli binafsi naona kama ni tafsiri tu za 'wachungaji', vitabu vya dini havisemi kua ni haki. Pia kati yenu wenyewe mnajua hakuna cha kulazimishana. Na ukiona watu wananyimana ujue kuna kitu kingine nyuma. Mtu hawezi kuamka tu aanze kumnyima mwenzie zawadi nzuri kama hiyo, tena ya bure, hadi kufikia kwa hatua ya kualika baraza ili vizungumzwe. either anaumwa au anahasira, au anampa mngine etc.