Mi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...
Hawa wanaokuwa wanaomba kazi au kutaka kupandishwa cheo halafu wanatoa zawadi ya ngono sidhani kamaMi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...
Wapi nimesema haiwezi kuwa zawadi halali?
Kama hamna mtu mwingine anaepunjwa kwa utolewaji wa zawadi hiyo iweje mimi niondoe uhalali wake?
Ah, kumbe unazungumzia "zawadi"!? Sasa mtu ukipewa zaidi si huwa tunapokea? Tunakataa kupokea rushwa, lakini zawadi tunapokea. Zawadi si kama tips?
Wapi nimesema haiwezi kuwa zawadi halali?
Kama hamna mtu mwingine anaepunjwa kwa utolewaji wa zawadi hiyo iweje mimi niondoe uhalali wake?
Tatizo lipo kwenye mahusiano pia malengo ya mpokeaji na mtoaji.Ndio maana hata wazazi hua wanakataza watoto wao kupokea pipi kutoka kwa watu ambao sio ndugu/jamaa zao ilhali wao wanawanunulia.
kwenye ishu ya mahari ninachosema ni kuwa
sisi waafrika tuna tamaduni za mda mrefu zinazotufanya tuwa treat wanawake
kama ambavyo tunafanya.....
hiyo superiority ya wahindi na waarabu ni ngumu kuielewa
mfano wapo waarabu ambao hawajui haa kiarabu wala hawana arabic culture
wamezaliwa Tanzania na wanaongea kiswahili lakini kuna tofauti namna wanavyo wa treat wanawake
wa kiarabu na wa kiswahili........
wamekudanganya
wanaenda dubai
Sasa na wewe unamuachia anarukaruka ngoja wajanja waje waambae nae kimoja kifaa cha track dola sabini kila mwezi...ha ha ha ha
nimeipenda hii
afu nisaidie basi kumwekea car track (body track) yule nanii
yaani anaitwa itwa siku hizi afu anapotea jumula
Jirani unafurahia mie kukonda wakati nyie mnanenepa?
Na hili swali linahusiana vipi na mimi kuwa ndani au nje ya ndoa?
Jibu: HAKINIKELEKETI kitu.
lol! tema mate chini lizzy ,this is against medical ethics na human nature.Sasa fikiria kizazi chetu na kitakachofuata tutakavyokua huko mbeleni ikiwa 'moral compass' za wakubwa wetu zilivunjika zamani.Itafika mahali hata mgonjwa atatakiwa kutoa rushwa ya hongo kabla ya kutibiwa.
I see mammii kesho nitakuchecki na kiu kwe kweli ya hiyo kitu
Sasa na wewe unamuachia anarukaruka ngoja wajanja waje waambae nae kimoja kifaa cha track dola sabini kila mwezi...
lol! tema mate chini lizzy ,this is against medical ethics na human nature.
Mi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...
hii inatishia amani kweli ,kuna umuhimu wa kuoa bikra eeeh?sio lazima 'wapendanao' hata among good friends
ndo maana watu wengi wakikutana na ma ex lovers hata kama
walisha achana na sasa wapo kwenye love na watu wengine
still wanakumbushia kwa sex.....
Nilidhani ni haki?
Haki? kwa hiyo nitukipendana tu tayari tunatakiwa kuzawadiana? mmmhhhh?Nilidhani ni haki?