Zawadi ya ngono


hata sijui kama umenielewa.......
 
Sasa fikiria kizazi chetu na kitakachofuata tutakavyokua huko mbeleni ikiwa 'moral compass' za wakubwa wetu zilivunjika zamani.Itafika mahali hata mgonjwa atatakiwa kutoa rushwa ya hongo kabla ya kutibiwa.
 
Wabongo tunavyoogopa kuwa mashahidi. Na huyo mtuhumiwa nae si ni rahisi kupata marafiki wa kuunga mkono utetezi wake? In fact hapo ndipo tatizo lipo. Walimu wenzake wata-side na mwalimu mwenzao.
Hatuna umoja ndio maana.Hivi unadhani kundi la wanafunzi wenye hasira wanashindwa kumuadabisha mwalimu mmoja wakitaka?

Alafu hilo la walimu kuteteana ni ukosefu mwingine wa maadili.Kama polisi wanapopiga wananchi badala ya kuwalinda.
 

Kwenye red unafikiri kule India ambako wanawake ndio wanaotoa mahari imechangia kwa "mawazo" ya "kupata mwili wa mwanaume' kwa mbinu na hila kuwa ni jambo la kijanja na la maana?
 
Kwenye red unafikiri kule India ambako wanawake ndio wanaotoa mahari imechangia kwa "mawazo" ya "kupata mwili wa mwanaume' kwa mbinu na hila kuwa ni jambo la kijanja na la maana?

kwanza nashkuru kwa kuelewa point yangu kuhusu culture

siwezi kuzungumza sana kuhusu india sababi sijawahi kuishi huko

lakini jiulize kitu kimoja kwa nini wahindi na hata waarabu wa Tanzania
hawatumii nafasi zao kuomba rushwa ya ngono kwa wanawake wenzao wa kihindi na kiarabu?
lakini wanawatumia wanawake zetu wa kiafrika?????

kwenye makampuni ya wahindi huwezi kukuta wahindi wa kiume wana abuse wahindi wenzao wa kike,
sana sana mwanamke anathaminiwa saana na hata kupewa special treatment.....
 
sio tu hujanielewa na umezungumza kitu ambacho sikuzungumza
sijui ni wapi nimesema wote muanze kujiuza?
Umesoma kweli kila nilichoandika Boss au basi tu umejisikia kusema hueleweki!?Soma tena sentensi inayofuata kabla ya kushawishika kuamini kwamba nimesuggest hicho ndicho ulichosema wewe.

Kuhusu nilichojibu kwa ujumla ningesuggest urudie kusoma ulichoandika mwanzo kuhusu utamaduni kuchangia..ya pili inajieleza.
 
Kiukweli naona siku hizi mabinti ndio wanaoongoza kwa kutoa, wakinikuta kijana muadilifu kama mimi naipokea vizuri hii zawadi ya k*** halafu ajira nampa anayestahili. Hata ningekuwa Mwl ningefanya vivyo hivyo Kama anaweza akanishtaki.

Kwa hiyo wewe hapo ndo unakuwa umejitendea haki kuipokea??? Kati ya wadada wanaokuja kukuomba kazi, utatembea na wangapi??
 
Hatuna umoja ndio maana.Hivi unadhani kundi la wanafunzi wenye hasira wanashindwa kumuadabisha mwalimu mmoja wakitaka?

Wakifanya hivyo wanaweza kufeli wote or shule inaweza kuwa chungu. Imbalance relationship iliyopo ndio tatizo. Tanzania unaweza kumwadibisha daktari halafu uendelee kutibiwa nae au na hata madaktari wenzake wa hosipitali hiyo? Na hata kama ukihama shule habari zako za kufukuzisha mwalimu zitafika kwenye shule mpya. Walimu nao wana mtandao wao.
 
Shule nayo itafukuza/hamisha/felisha wanafunzi wangapi?

All in all, kazi tunayo.
 

Sina udhibitisho lakini wanasema kuwa wahindi/waarabu regard themselves as racially superior to blacks. Kama ni kweli then, panapokuwa na mwanamke wa race yake na mwafrika, si atam-treat vizuri wa race yake kuliko huyo Mwafrika? Only if they think their racially superior. Lakini sikubaliani na wewe kuwa wahindi/waarabu wanawapa special treatment wanawake wa rangi yao. Labda wakati wakiwa nje lakini wakiwa ndani, they face the same treatment.

Labda culture yetu ya Kiafrika ina-undermine wanawake to the extent ya kuona wale wa kihindi/kiarabu wanapewa special treatment na waume zao? Na kwa vile unasema kuwa wahindi/waarabu wa Tanzania hawatumii nafasi zao kuomba rushwa ya ngono kwa wanawake wenzao wa kihindi/kiarabu lakini wanawatumia wanawake wa kiafrika una maana kuwa issue ya mahari sio chanzo kama ulivyouliza kwenye post yako ya awali? Kwamba hata kama mahari ikipigwa marufuku bado tatizo litaendelea kuwepo?
 
kwa makusudi yapi?
zipo 'zawadi za ngono' ambazo ni fair and halali kabisaaa'
sio kusema kuwa 'ngono haiwezi kuwa zawadi'
inaweza kuwa zawadi vilie vile
na sio rushwa ya ngono na zawadi ni sawa sawa
Mi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...
 

kwenye ishu ya mahari ninachosema ni kuwa
sisi waafrika tuna tamaduni za mda mrefu zinazotufanya tuwa treat wanawake
kama ambavyo tunafanya.....

hiyo superiority ya wahindi na waarabu ni ngumu kuielewa
mfano wapo waarabu ambao hawajui haa kiarabu wala hawana arabic culture
wamezaliwa Tanzania na wanaongea kiswahili lakini kuna tofauti namna wanavyo wa treat wanawake
wa kiarabu na wa kiswahili........
 
Reactions: EMT
kwa makusudi yapi?
zipo 'zawadi za ngono' ambazo ni fair and halali kabisaaa'
sio kusema kuwa 'ngono haiwezi kuwa zawadi'
inaweza kuwa zawadi vilie vile
na sio rushwa ya ngono na zawadi ni sawa sawa
Wapi nimesema haiwezi kuwa zawadi halali?
Kama hamna mtu mwingine anaepunjwa kwa utolewaji wa zawadi hiyo iweje mimi niondoe uhalali wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…