Zawadi ya Jumamosi kwa Mh. Rais

Zawadi ya Jumamosi kwa Mh. Rais

Kwakuwa sijui liujazalo moyo wa Rais wangu Magufuli, huenda anadhamiri ya kweli kulipeleka taifa kwenye dunia ya uchumi tenge, ama huende anapalilia utawala uleule wa miaka 55 nyuma.

Niliposikia mzigo bandarini imepungua na huku nikisikia matangazo ya kuongezeka kwa mapato kwamjibu wa TRA, nilijipa jukumu la kufuatilia binafsi. Nilichobaini ni harufu ya hujuma kwa taifa inayofanywa na TRA,

TRA mpaka leo inatumia sheria za kikoloni za kodi, hasa sheria ya forodha ya Afrika Mashariki, Sheria hiyo inamtaka afisa wa TRA kwa matakwa yake tu kumkadiria kodi mlipa kodi kulingana na aina ya biashara au mzigo alionao...

Baada ya kuingia Utawala huu wa Rais Magufuli na kuanzisha oparesheni ya nguvu ndani ya mamlaka hiyo ambayo ilitajwa kuwa ndipo wizi mkubwa upo, Maafisa hawa nao wakaja na msimamo wao, Leo mfano kontena la futi 40 la marumaru (tiles) ambalo kabla ya oparesheni ya Magufuli pale Bandarini ulikuwa ukilipia milioni 20, leo unatakiwa kulipia milioni 80, Yani hii ni matakwa ya Ofisa TRA tu na unaambiwa kodi kwanza mengne baadae....isome namba.. Kinachotokea ni mfanyabiashara kutopitishia tena mzigo wake katika bandari ya Dar, anakwenda Beira au Mombasa.. Sio kwamba anakwepa kodi, bali anakwepa wizi unaofanywa na TRA kwaajili ya kuufurahisha utawala.. Na mwisho Bandari imebaki nyeupe...

Sasa ukija kwenye mapato ya kila mwezi tunatangaziwa kuwa yameongezeka... Lakini ukihoji yameongezeka ukilinganisha na nini? Watakujibu ukilinganisha na mapato ya mwaka jana mwezi kama huu... Hili ni jibu dhaifu la kiuchumi. Kuna taarifa ama tetesi zisizorasmi kwamba TRA inatoa hesabu dhahania tu. Madeni hewa yanawekwa katika hesabu za mwezi ili kukidhi haja ya makadirio.. Jambo hili laweza kuangusha nchi kiuchumi..

Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Rais wangu Magufuli, unapoteza muda mwingi kuhujumu vyama vya siasa, lakini unaowaamini wanakujumu katika uchumi. Huenda washauri wako wa Uchumi wanakushauri vizuri, lakini wanakosea kidogo kufahamu kuwa uchumi wowote huwa hauendelei kama pesa haipo kwenye mzunguko... Kinyume chake utaaminishwa kwamba Wafanyabiashara wameficha hela..... Hakuna mfanyabishara gani nchini afiche pesa ya Tanzania hii shilingi ya madafu. Kuchapisha noti mpya sio kukomoa ama kunusuru Uchumi wa nchi, bali kwa tangazo lako lile huenda likashusha thamani ya shungi na kupandisha dola ya kimarekani.

Njia sahihi ruhusu pesa iingie kwenye mzunguko, toa hela wape wananchi wako... Sio uwape mkoni bali kopesha makampuni makubwa na taasisi kubwa zenye uajiri mkubwa na zikopeshwe bila masharti (riba)... Pesa hiyo itaingia kwenye mzunguko na itakaa kwa mda mrefu kuliko ukiwapa masikini kwa njia sijui milioni hamsini kila kijiji...hizo ukiwapa leo hata wiki haitaisha zitarudi benki hivyo utakuwa hujanusuru uchumi.

Muhimu zaidi rudisha morali ya watumishi wa umma, wanaishi kwa woga mkubwa.... Hawa wanaweza kukukwamisha safari yako.... Bila hawa safari yako ni yakurudi nyuma sio kwenda mbele...

Zawadi yangu muhimu kwako Rais Magufuli, naomba umsome Marcus Tullius Cicero katika kitabu chake "HOW TO RUN A COUNTRY" anaweka misimamo ya kiutawala/kiuongozi katika uga mpana zaidi....

Kitabu hiki ni zawadi yangu kwako Mh mtukufu sana rais wangu Mh John Pombe Magufuli, kitakuwa na mafaa kwako na taifa litachekelea..

View attachment 392741
UtaitwaMchochezi wewe. Rais keshapaniki
 
ile kesi ya maneno ya uchochezi ilishaondolewa mahakamani au ?@yeriko
 
Mie sitaki kuitwa mchochezi@ zile pesa ambazo zimeokolewa kila dk mil 7 sasa hivi zinaenda kwa nani
 
Leo umeshauri vizuri sana, umeanza kuwa tofauti na saa8!Big up
 
Ungetafasiri hicho kitabu maana sijui kama atakielewa.
Swissme
Atakielewa bana. Dr. Magufuli ameandika Phd Thesis kwa kiengereza. Ni ile kukariri nambari nyingi tu kichwani ndio zinampa shida anapotaka kuzungumza kwa ung'eng'e kwa sababu nambari zinaingilia mfumo wa kuchagua na kutamka maneno ya kidhungu.

Kusoma na kuelewa,kufahamu kiengereza kwa Dr. wa kemia si tatizo, tatizo ni kutema cheche kwa lugha hiyo tu. Na tatizo lenyewe linatafutiwa ufumbuzi.
 
Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Ni bei au kiwango elekezi naomba wataalam wa kiswahili wanisaidie navyo jua bei huwa kwenye bidhaa zinazouzwa madukani au kwenye soko utasikia 'unauza bei gani', kodi bei gani?Naweza nje ya mada.
Naweza nje ya mada !!!? Usivuruge uzi huu ni mzuri sana kwa mwenye akiri ningekuwa magu leo hii ningemteua kuwa mshauri msaidizi wa uchumi.
 
Fananisha haya.

JK: Sijui kwa nini watanzania ni maskini.
JPM: 'Sijui' pesa iko wapi (maana imefichwa). Nitatengeneza mpya.
 
Mkuu kwa moyo mmoja kabisa naungana na wewe kwa hiki ulichokiandika, inabidi Mjomba Magu apate ushauri mzuri sana juu ya haya maswala ya uchumi, ninaamini ana nia nzuri ila bado hajapata njia ya kupitia.

Kwa sasa Tanzania siyo sehemu salama kibiashara, mamlaka za Mapato zimekuwa kama Mamungu Watu, wanachaji wanavyotaka.
mbona tulisikia lipumba ndo mshauri wa masuala ya uchumi??
 
Hili la tra lina ukweli fulani.
Binafsi nilikua nataka ufafanuzi wa kodi fulani na rates zake...hawa jamaa wamegoma kutoa kiwango
Wanasema utatozwa ukiwa tayari.
Nikawambia nataka kujua ili kupanga bajeti vizuru...Tra wamegoma kabisa.
Hivyo kuna ubabaishaji mkubwa sana kwenye tozo na rates zitumikazo. Hawako wazi ni wizi mtupu na kukomoana.
Sababu ya hivo sijui ni kuajiri vilazaa au ndo amri.
Tuna kazi lkn kama trend itakua hivi ...tutegemee economic crush muda sio mrefu....
Nafkiri ufundishwa hivo nami waliwahi kuniambi hivo miaka kadhaa iliyopita nakafikr ni rushwa tu inayowasumbua.UKweli ni kuwa ili ujue rates za tz ni sawa na kumuuliza wakili kuhusu kosa flan je nitashinda mahakaman halafu wakili aanze kuangaika na vifungu/vitabu vya sheria ili ajue kama utashinda au lah kwa vyovyote vile atakwambia tenda kosa tutajua huko mbeleni ukiniletea hiyo kesi.kuna vifungu kadhaa wanazingatia kabla ya kukwambia kiwango, ikiwa ni pamoja na hali ya kitu chenyewe, bei ya soko, kinatoka nchi gani nk.
 
Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Ni bei au kiwango elekezi naomba wataalam wa kiswahili wanisaidie navyo jua bei huwa kwenye bidhaa zinazouzwa madukani au kwenye soko utasikia 'unauza bei gani', kodi bei gani?Naweza nje ya mada.

Mfanyabiashara kwa kawaida matarajio yake ni faida na siyo faida tu bali faida kubwa, Tulikotoka wamejinufaisha sana kwa kulipa kodi kidogo na huku wakitengeneza faiida kubwa, hivyo katika hali ya sasa ambayo pengine washikaji pale TRA wameondolewa na kodi stahiki ni lazima zilipwe itakuwa vigumu kulipokea kirahisi, katika hali ya kawaida lazima malalamiko yawepo, Maamuzi ya kuhama bandari binafsi siyaafiki japo ni hiali ya mfanyabiashara mwenyewe, lakini kungefanyika mazungumzo baina ya wafanyabiashara na serikali kujua tatizo liko wapi kuliko kusukumwa na nguvu ya kuhama bandari na tatizo likibaki palepale, inawezekana madai yana ukweli juu ya ukadiriaji wa kodi lakini yatafahamika iwapo waagizaji (Wafanyabiashara) watakaa meza moja na serikali yao kuangalia suala hilo naamini muafaka utapatikana tu. Kwa asili Bwana Kodi (mtozaji) hapendwi ila anaweza kuwa tatizo pia kulingana na kazi yake kuifanya kibabe kuliko ueledi'
Kwa mwananchi wa kawaida ambae amepata vijisenti na kutaka kujikwamua kwa kununua Gari (Usafiri) Makadirio yale ya TRA CALCULATOR yatazamwe kulingana na Bei ya Soko ya magari, Bei ya kununua Gari (used) ni ndogo kulinganisha na Kodi inayotozwa, Dawati la malalamiko lifanyie kazi malalamiko na sio kuyatupa kapuni, Serikali inapoteza fedha nyingi hapa, Ukiagiza Gari kodi itaendelea kupatikana kwenye Mafuta,Matairi, vipuri, vilainishi hata barabara kutokana na hilo Gari moja, Ubunifu wa mapato lazima uongezeke na mapato yaongezeke Serikali ipatie Wananchi huduma na yenyewe ikijiendesha.
Tanesco ilipata washauri wataalamu sasa imepunguza gharama zake za kuunganisha kwa wateja matokeo yake japo hayataonekana sasa lakini tunakoelekea litakuwa shirika imara na lenye Mafanikio makubwa kwa kuwa na wateja wengi nchini wenye kutumia Nishati hiyo na Shirika kujiingizia Mapato ya kutosha.
Ushauri mwingine TRA tokeni ofisini mkafanye kazi kwenye mitaa yenye Maduka makubwa kwa namna mnayojua, Bado kuna ukwepaji mkubwa wa kodi, pale Arusha Jirani na Stendi ya Mabasi kuna Maduka ya vipuri vya Magari, nilishuhudia Mteja akinunua DRIVE BELT TATU za Landcruiser VX kama ifutavyo: Altonetor Belt Tsh 118,000/= AC Belt Tsh 56,000/=Jumla Tsh 174,000/=+VAT 31320/= 205,320/= akaomba kupunguziwa bei, akaambiwa Bei bila vat itapungua kwa sharti hakuna risiti na kifungashio cha vipuri hivyo uache hapa, kwa kuona unafuu akalipa Tsh 170,000/= akaondoka zake..! Sasa wako wangapi wa namna hiyo?
 
Yerico Nyerer bana,huyo anaekimbiza konrena kulipeleka Beira ujue sio la Tanzania,na kama sio la Tanzania basi halikupaswa kulipiwa kodi,acha upotoshaji kijana
Mizigo kupungua na kodi kuongezeka maana yake yale mafuriko ya mizigo yalikuwa feki serikali haipati kodi.
Bora tupate kontena 10 lakini zilipiwe kodi stahiki,kuliko kujaza bandari hela Inaliwa na mafisadi
 
wanajikanyaga hao wana wa UFIPA.
Umejiukiza na mizigo isiy ya Tanzania taifa litapata hasara au faida kama itapitishiwa bandari nyingine, katoa mfano wa kontena moja he no la tz au linspitia tuu TZ! Halafu msingije watu wakosoe ndio mkosoe, mnakuwaga wapi kuvisifia vinavyokosolewa na wengi? Basi saw a Saanane katoa hoja apingwe kwa hoja kumuuliza maswali in kutokumuelewa lakini mnamkosoa tena msiyemuelewa au mnalipwa? Haya tuambieni Kofi ikoje kwa anayepitishia bandarini na anayevushia mpakani ili tumjue aliye sahihi....
 
Kwakuwa sijui liujazalo moyo wa Rais wangu Magufuli, huenda anadhamiri ya kweli kulipeleka taifa kwenye dunia ya uchumi tenge, ama huende anapalilia utawala uleule wa miaka 55 nyuma.

Niliposikia mzigo bandarini imepungua na huku nikisikia matangazo ya kuongezeka kwa mapato kwamjibu wa TRA, nilijipa jukumu la kufuatilia binafsi. Nilichobaini ni harufu ya hujuma kwa taifa inayofanywa na TRA,

TRA mpaka leo inatumia sheria za kikoloni za kodi, hasa sheria ya forodha ya Afrika Mashariki, Sheria hiyo inamtaka afisa wa TRA kwa matakwa yake tu kumkadiria kodi mlipa kodi kulingana na aina ya biashara au mzigo alionao...

Baada ya kuingia Utawala huu wa Rais Magufuli na kuanzisha oparesheni ya nguvu ndani ya mamlaka hiyo ambayo ilitajwa kuwa ndipo wizi mkubwa upo, Maafisa hawa nao wakaja na msimamo wao, Leo mfano kontena la futi 40 la marumaru (tiles) ambalo kabla ya oparesheni ya Magufuli pale Bandarini ulikuwa ukilipia milioni 20, leo unatakiwa kulipia milioni 80, Yani hii ni matakwa ya Ofisa TRA tu na unaambiwa kodi kwanza mengne baadae....isome namba.. Kinachotokea ni mfanyabiashara kutopitishia tena mzigo wake katika bandari ya Dar, anakwenda Beira au Mombasa.. Sio kwamba anakwepa kodi, bali anakwepa wizi unaofanywa na TRA kwaajili ya kuufurahisha utawala.. Na mwisho Bandari imebaki nyeupe...

Sasa ukija kwenye mapato ya kila mwezi tunatangaziwa kuwa yameongezeka... Lakini ukihoji yameongezeka ukilinganisha na nini? Watakujibu ukilinganisha na mapato ya mwaka jana mwezi kama huu... Hili ni jibu dhaifu la kiuchumi. Kuna taarifa ama tetesi zisizorasmi kwamba TRA inatoa hesabu dhahania tu. Madeni hewa yanawekwa katika hesabu za mwezi ili kukidhi haja ya makadirio.. Jambo hili laweza kuangusha nchi kiuchumi..

Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Rais wangu Magufuli, unapoteza muda mwingi kuhujumu vyama vya siasa, lakini unaowaamini wanakujumu katika uchumi. Huenda washauri wako wa Uchumi wanakushauri vizuri, lakini wanakosea kidogo kufahamu kuwa uchumi wowote huwa hauendelei kama pesa haipo kwenye mzunguko... Kinyume chake utaaminishwa kwamba Wafanyabiashara wameficha hela..... Hakuna mfanyabishara gani nchini afiche pesa ya Tanzania hii shilingi ya madafu. Kuchapisha noti mpya sio kukomoa ama kunusuru Uchumi wa nchi, bali kwa tangazo lako lile huenda likashusha thamani ya shungi na kupandisha dola ya kimarekani.

Njia sahihi ruhusu pesa iingie kwenye mzunguko, toa hela wape wananchi wako... Sio uwape mkoni bali kopesha makampuni makubwa na taasisi kubwa zenye uajiri mkubwa na zikopeshwe bila masharti (riba)... Pesa hiyo itaingia kwenye mzunguko na itakaa kwa mda mrefu kuliko ukiwapa masikini kwa njia sijui milioni hamsini kila kijiji...hizo ukiwapa leo hata wiki haitaisha zitarudi benki hivyo utakuwa hujanusuru uchumi.

Muhimu zaidi rudisha morali ya watumishi wa umma, wanaishi kwa woga mkubwa.... Hawa wanaweza kukukwamisha safari yako.... Bila hawa safari yako ni yakurudi nyuma sio kwenda mbele...

Zawadi yangu muhimu kwako Rais Magufuli, naomba umsome Marcus Tullius Cicero katika kitabu chake "HOW TO RUN A COUNTRY" anaweka misimamo ya kiutawala/kiuongozi katika uga mpana zaidi....

Kitabu hiki ni zawadi yangu kwako Mh mtukufu sana rais wangu Mh John Pombe Magufuli, kitakuwa na mafaa kwako na taifa litachekelea..

View attachment 392741
Sasa huu ndiyo upinzani unaotakiwa Tanzania. Upinzani kama huu ukiendelea hakika future ya upinzani naiona bora zaidi huko mbele.
Kwa mara ya kwanza naomba NIKUPONGEZE kwa kutoa uzi ulio na mashiko kwa taifa hili.
Bigup
 
Back
Top Bottom