Zawadi ya Jumamosi kwa Mh. Rais

Zawadi ya Jumamosi kwa Mh. Rais

Kuna unafuu wanapata kwenyw kuilipa hiyo kodi.

Mfano ukienda kwenye maduka ya wahindi, una ambiwa ukitaka EFD receipt bei ni hii (Kubwa kidogo) na ukitaka risiti ya kawaida (Bei hupungua) ni hii.

Andishi la Yericko lina ukweli ndani yake, sema mazoea ya siasa miongoni mwa vijana hapa JF yameondoa UZALENDO KWA TAIFA.

Kila jambo lina angaliwa kwa jicho la siasa kwanza, yaani vijana wamekuwa wazalendo kwa vyama kwanza.

Alasiri Njema
Mkuu umeongea jambo zito sana na lenye mashiko
 
Mkuu hawa ndugu wanauwezo mdogo sana wa kufikiri, sijui kwanini wameweza kutumia internet na wakafika huku jf
Yani mtu anataka kila kitu aambiwe hataki kuumiza kichwa [emoji23][emoji23][emoji23] kazi IPO mkuu.
 
Mkuu Yerico, hicho kitabu kuna Kiswahili au ni kimombo tu??
 
tumejipangaaaaaaaa....mwaka huuu wataisomaaaaaaaaa !!!!!! inasomeka vyema kabisa
 
Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Ni bei au kiwango elekezi naomba wataalam wa kiswahili wanisaidie navyo jua bei huwa kwenye bidhaa zinazouzwa madukani au kwenye soko utasikia 'unauza bei gani', kodi bei gani?Naweza nje ya mada.
Usipoelewa content, huwezi jua kama neno limekosewa au la...

Ungeomba ufafanuzi na ukatoa suluhisho...

Otherwise umetoka nje ya mada
 
Umeandika uzuri sana lakini je hizi kodi zinazokusanywa kila mwezi huwa hazikusanywi sehemu au huishia kwenye maandishi tu bila hizo pesa kuonekana?
 
Tatizo kubwa la TRA mpaka leo hakuna bei elekezi ya kodi.. Nchi zote Afrika Mashariki zina bei elekezi ya kodi kwa kila bidhaa au shughuli inayotakiwa kupiwa kodi. Nchi za wenzetu Afrika Mashariki hazitumii sheria ile iliyoridhiwa na mataifa hayo enzi za umoja.. Na mtandao wa kihalifu nchini unatumia mwanya huu unaoruhusu afisa forodha akukadilie bei ya kulipia, sasa kama sehemu ya mkakati wa kumhujumu Rais, wao wanaweka bei mara mia ya ile iliyozoeleka miaka yote ilimradi ushindwe kulipa na uondoke kutumia Bandari hii ya Dar.

Ni bei au kiwango elekezi naomba wataalam wa kiswahili wanisaidie navyo jua bei huwa kwenye bidhaa zinazouzwa madukani au kwenye soko utasikia 'unauza bei gani', kodi bei gani?Naweza nje ya mada.
Watu wengi wasiokuwa na uwezo wa kusoma habari na kuielewa huwa wanakimbilia kuangalia makosa kwenye maneno badala ya kuangalia CONTEXT yake. Nakushauri kuna jukwaa la Lugha nenda huko ukafanye mnyambulisho wa maneno hapa tunachambua hoja
 
vp hamna kitabu cha how to run a political party...umpe mkuu wako wa chama akisome
 
Back
Top Bottom