ZAWADI NONO TZS1,000,000- Picha za Mbowe

Sasa ndio umepost mashudu gani??? Teh teh teh...sitawaangusha...
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

Ili uzifanyie nini?.

Na zina msaada gani kwetu?
 
Mi ninazo ila uhakika wa kuipata hiyo ela ndio haupo halafu dau dogo sana
 
Nilionaga picha ya raid mmoja enzi za utoto wake kafungwa nepi nikajiuliza kuwa kumbe hats marais wana historian zao
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

Hta Ravalomanana alikuwa DJ na hatimaye kuwa Rais
 
hiii misisiem ikishazidiwa inakua inaropoka ovyo ovyo..ndo maana leo mpumbavu mwenzao katuita wapumbavu pasipo kujua kumbe wapumbavu ndio waliompigia kura akashindaga enzi hizo
 
images (1).jpg
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.
Uzi wako ni wa maana sana kwa ajili umeanza kuamini kuwa UKAWA inachukua nchi..tehe tehe teh
 
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.

na wasiwasi wewe ni gwanda la kijani na una lako jambo, mbona hujamsema sugu umeanza kwa mbowe, una lako jambo na umetumwa
 
Ili ikusaidie nini? Hiyo milioni peleka kijijini kwenu ambako kuna zahanati haina madawa, watoto wa shule hawana madawati. Lakini pia bibi yako hana nguo za kuvaa.

Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.
 
are you sure the past doesn't matter? for how long CCM has been in power and will you be able to compare their stay vs their achievements?
DAT DA past.....it no longer matter for now,we grow and develop everyday!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom