Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,497
- 21,588
Kwa hiyo jamaa ni muhuni flan hiv si ndio?
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.
Ili ikusaidie nini? Hiyo milioni peleka kijijini kwenu ambako kuna zahanati haina madawa, watoto wa shule hawana madawati. Lakini pia bibi yako hana nguo za kuvaa.
Atakae shinda hli dili asinisahau nahitaji nauli ya kwenda JANGWANI J' mosi
Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.
hivi nyie ma mods wetu mmesinzia au mnapendelea watu fulani au mmejisahau kias gani??
NI POST GANI HII NA INATUSAIDIA NN SISI KAMA GREAT THINKERS?????
TUONDOLEENI HUU UCHAFI PLZZ
Lete ushahid na achana na siasa uchwara za kwenye madala dala.Unamshangaa Mbowe aliyesuka nywele?
Kamshangae Rais wa dunia akisuka nywele na
kutumia sigara kubwa.
Kamshangae Paulo Mtume aliyewauwa manabii halafu
akaja kuwa mtumishi mzuri wa Mungu.
Hivi hizi ni za kweli au photoshop?