Nitatoa shilingi milioni moja kwa yeyote yule atakaye post picha za Mbowe enzi zile akiwa amesuka nywele au kubana nywele nyuma au kuweka curl kit au perm au rasta au kuvaa hereni. Hili ni kwa wema ili tujue waziri mkuu wetu mtarajiwa alianzia mbali sana kimaisha. Wadau changamkeni. Chochote chawezekana bongo.