Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Dah!! nimeshtuka karibia nipige yowe.
Hii sura kama ya MWANAPORO WA MADINI
ambaye kapiga moto anauhakika kitu imejibu anafika manta anakuta holaa
ambaye kapiga moto anauhakika kitu imejibu anafika manta anakuta holaa
Preta yaelekea wewe mjuzi wa mambo mengi hebu niPM tutete kidogo
kitu cha ajabu akiwa na mshiko huyo popote anaingia na kupata huduma zote lol.
Hii sura kama ya MWANAPORO WA MADINI