Zawadi kwa wapenzi na wapendwa wetu

Zawadi kwa wapenzi na wapendwa wetu

Zawadi siku izi ni kama unafanya investment vile, mtu anaexpect akikupa zawadi et na yy umpe, real surprising kiukwel
Sasa kumbe wewe unataka upokee tu zawadi??? Usitoe ???
 
Hili suala LA zawadi ck hizi imekuwa kero kuna kanambia makavu eti anataka zawadi lkn mbaya zaidi anachagua aina ya zawadi anayoitaka
 
Hili suala LA zawadi ck hizi imekuwa kero kuna kanambia makavu eti anataka zawadi lkn mbaya zaidi anachagua aina ya zawadi anayoitaka
hehehehe, pole sana. naonaga wengine wanaweka profile picha inayojieleza kuwa mwezi huu ndo birthday yake, na kuwa ameshaanza kupokea zawadi.

kuona lile tangazo tu ni deni tayari.
 
Kuna mtu mkuu unafanya sherehe ya mahafali ya kuhitimu chuo sasa yaani ni shida anataka zawadi fulani
 
Hili suala LA zawadi ck hizi imekuwa kero kuna kanambia makavu eti anataka zawadi lkn mbaya zaidi anachagua aina ya zawadi anayoitaka
Mmmmhhhh kazi unayo
Sijawahi muomba boyfrnd zawadi na sijawah tamka hilo....ila km anajiskia alete coz najua zawad haina maana km hanipendi ila mm ntatoa zawad nikiwa na maana ya upendo....km hanipendi asinipe tu
 
Hongera kama hujawahi omba zawadi basi wew utakuwa dada wa wakati huo wa leo haishii kuomba tu na anachagua aina ya zawadi anayo itaka yaani ni tabu kweli
 
Sasa kumbe wewe unataka upokee tu zawadi??? Usitoe ???
Nop, sio kwamba sitoi, Ila Mpaka MTU anakwambia "my bday is loading also so get prepared for gift as I dd" sasa ndo nn
 
Back
Top Bottom