Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hivi hivi ambavyo hata wewe unajua....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hivi hivi ambavyo hata wewe unajua....
Aiseeee, ndo maana mi nipo hivi kwako
Nini kiendeleacho hapa???[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha upoje?
Mie pesa tuu.We taja tu rangi uzipendazo, zawadi za mama za ziandaliwe
Nikikumbuka ntaongezea maana mm huwa nafanya automaticallyAsante sana, hivi vyenyewe ni vingi
Nyekundu nyekundu nyingiii.za rangi gani??
NimekumbukaAsante sana, hivi vyenyewe ni vingi
Spray yrslf before uNimekumbuka
Kuna sprays
Ktk hili make sure unampelekea spray na spray kidogo...bas hapa huyo atachanganyikiwa akiisikia haruf yake hata kwa mwingin lazima aanze kuinusishia
Pia mafuta/lotion
Unawez fny hivyo km unafaham product nzur za lotion....kuna wanaume/wanawake wengin alisha zoea bby care ss mfn umembadilishia akawa ameend kutumia lotion ya Care product akaipenda bas kila akiiona product ile atakumiss
Ni sawa piaMie pesa tuu.
HahaaaaaNyekundu nyekundu nyingiii.
Basi nipe madolari.nyekundu itabadilishwa soon na Heaven Sent kasema zawadi iweze kudumu (kukaa kwa muda mrefu).
Ni sawa pia
Kwakweli napenda sana zawadi ya pesa.Hahaaaaa
Mtoto ndio huyo nishalea na kaleleka, we lete mapesa tu.mi ntavuka malengo kwa kukupatia enough Oman Rial.
ila kama mama kazi yako unaijua??
Isidingo the needNini kiendeleacho hapa???