sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa
5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it
Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.
Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huu
View attachment 1267832
zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.
Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.
Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.
Mambo muki diiiiii muki deeeee