Zawadi kwa mpenzi...

Zawadi kwa mpenzi...

Kwa kuwa napenda sana pambo LA mkono (SAA). So ningekuwa mm ningemtafutia SAA moja kaliiiiii ya kike... atafurahi sana
Vp nikimuuliza zawadi anayoipenda itakuwa vizuri? Mmijitahidi au nimfanyie ziara ya kishitukiza kama saplies
 
Vp nikimuuliza zawadi anayoipenda itakuwa vizuri? Mmijitahidi au nimfanyie ziara ya kishitukiza kama saplies
Normally huwa tunaulizaga tyu ila reality haipendezi na haifai. Zawadi inakuwa nzuri zaidi kama itastukizwa tyu kwa mlengwa na jaijalishi ni zawadi gani...
Naamini binadamu tunapenda vitu vingi vizuri, hvyo kwa kuwa ww unauzoefu nae, mtafutie zawaidi unayodhani inamfaa..
Unaweza kumuuliza akakuambia zawadi ambayo huwezi kuafford, so itakuwa jau.
 
Basi mnunulie chupi au sidiria ata akiwa kwa mchepuko wake wakati anavua anakukumbuka kidume ulimnunulia
Nilifikiri mbege siku hizi hunywi kumbe bado tu, unahitaji maombi mkuu
 

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom