Zawadi kwa mpenzi...

Zawadi kwa mpenzi...

sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa

5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it

Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.

Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huu
maxxtro-mx-295-10-7612320123753.jpg

zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.

Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.

Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.

Mambo muki diiiiii muki deeeee
 
Wana jf habari za uzima

Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda sasa japo sijashiriki nae sex.

Nimemuahidi kumununulia zawadi je, ni zawadi gani ambayo ataipenda
Na isiyo na bei kubwa angalau kuanzia 5000/=

Mimi nimependelea kumununulia chupi na heleni na siku ya kumpa hizi zawadi ni ile siku ya sex

Na nimemweleza kuwa nina zawadi yake japo sijaiandaa
Mawazo yenu wadau kwa zawadi ndogo itakayo mfurahisha.
Samahani mkuu hiyo ni USD 5000 au Tsh. 5000.

Samahani sijakudharau nataka kujua tu.
 
sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa

5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it

Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.

Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huuView attachment 1267832

zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.

Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.

Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.

Mambo muki diiiiii muki deeeee
Nimecheka mpaka basii
 
Back
Top Bottom