CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,870
na assume hana kifaa cha kusikilizia,ingekua ni mimi sasa :Wazo lako zuri vip kama hana kifaa cha kusikilizia itakuaje
ningetafuta mfano wa peni kama hii sio zile ambazo ziko uchi Noop
natafuta ambayo ina cover then pen inakua kwa ndani kama hi hapa chini
si lazima iwe peni ya namna hiii la muhimu tu iwe peni flani "stylish one" and "unique" unaifunga ndani ya kabahasha kako kazurii unampelekea,trust me lazima ataipenda maana sio peni zile kazizoea ni peni ambayo ataitumia kuandika andika mambo yake kwenye ka diary kake (si unajua wadada tena) hatoigawa nakwambia Niamini.
zawadi ni nyingi sana hizi hizi tunazotumia kila siku, unaweza dharau ugali ukahisi ni chakula cha kimaskini ila ugali huo huo unaweza mtoa out babe ukampeleka 5 star hotel ukamuagizia na akaupenda akahisi anakula Biriani.
hamna zawadi nzuri kama hizi ndogo ndogo ambazo znaonekana za ki maskini maana hizi zawadi zetu ni very touching itategemea tu na umpae,upate ambae akisema "nakupenda" anamaanisha kweli anakupenda kuanzia unywele hadi ukucha wako.
