Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,580
- 2,224
Unataka kumuharibia mwenzio hivyo!!Ila wanawake siku hizi mmezidi huruma.
Unataka kumuharibia mwenzio hivyo!!Ila wanawake siku hizi mmezidi huruma.
Unapatikana wapi mrembo!?Biscuit za maziwa na chocolate
KwetuUnapatikana wapi mrembo!?
Sasa hiyo 5,000/=
Si utapata pichu moja tu!
sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa
5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it
Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.
Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huuView attachment 1267832
zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.
Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.
Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.
Mambo muki diiiiii muki deeeee
JF?Samahani mkuu hiyo ni USD 5000 au Tsh. 5000.
Samahani sijakudharau nataka kujua tu.
Akhirisha mipango yako ya uzinzi,ebo! Huyo ni mtoto wa mwanamme mwenzio anayekuzidi umri,mwenye matarajio mazuri ya kumuozesha mme mwema,atakaye tambuliwa nyumbani kwao. Peleka posa,umuowe. Usitangaze tena hapa mipango yako ya bakshishi ya uzinifu,na kujizolea likes za wazinzi. **** Mola tusamehe kwa kuunga mkono mipango ya wazinzi. Nyoote semeni,Aaamin.Wana JF habari za uzima
Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda sasa japo sijashiriki nae sex.
Nimemuahidi kumununulia zawadi je, ni zawadi gani ambayo ataipenda
Na isiyo na bei kubwa angalau kuanzia 5000/=
Mimi nimependelea kumununulia chupi na heleni na siku ya kumpa hizi zawadi ni ile siku ya sex
Na nimemweleza kuwa nina zawadi yake japo sijaiandaa
Mawazo yenu wadau kwa zawadi ndogo itakayo mfurahisha.
sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa
5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it
Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.
Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huuView attachment 1267832
zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.
Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.
Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.
Mambo muki diiiiii muki deeeee
Ndio wapi? Ningependa tuonane kama hutajali.Kwetu
Mambo yameshakaa sawa kwa hiyo 5000 huwezi aminiIyo mnulie tu vocha
Mkuu njoo taratibu mbele kuna kisikiAkhirisha mipango yako ya uzinzi,ebo! Huyo ni mtoto wa mwanamme mwenzio anayekuzidi umri,mwenye matarajio mazuri ya kumuozesha mme mwema,atakaye tambuliwa nyumbani kwao. Peleka posa,umuowe. Usitangaze tena hapa mipango yako ya bakshishi ya uzinifu,na kujizolea likes za wazinzi. **** Mola tusamehe kwa kuunga mkono mipango ya wazinzi. Nyoote semeni,Aaamin.
Sema kuanza 5000 mwisho shilling ngapi. Kama maximum ni 5000 dah hapo pagumu kutoa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
#luckyline Yaan we nimekupenda bure kwa maana unajua maana ya mapenzi, chakushangaza nimemnunulia viatu vya 3000 na leo hii ndo kavivaa takiribani week 2 tangu nimnunulie na mapenzi ndo naona yameshika kasiKwa sisi wapenda zawadi hata hiyo ya buku 5 inafaaa, hivi unajua ni kiasi gani ukimpa mwanamke zawadi hata kama ndogo anavyoithamini? Kitendo cha kuwaza kumnunulia zawadi ni upendo tosha. kama unajua size yake mnunulie Simple shoes, au saa au perfume , simu, etc. God bless u mdogo wangu