Zawadi kwa mama

Zawadi kwa mama

Shopping uwii kuanzia head to toe kila mwezi lazima Sanduku la nguo na kuha kikisha she is happy na watu wote wawe na wivu Kama ana mtoto wa kike.na kuhakikisha anafanya check up every year hapa USA ( yale hospital )

Damn,kwanini umedhani me ni mtoto wa kike?
 
mjali na muonyeshe namna gani wampenda,,maana mama ni zaidi ya zawadi pia wax,kanga,mabazee sio mbaya KIAFRIKA ZAIDI
 
yani nlivosoma hii thread kidogo tu,ikabidi nimpigie simu kwanza my mom,js do anything that makes her happy ukiwa na uwezo nacho mfanyie tu ,au.muulize kama ana shida yoyote or just be there to spend time with her ,a mother's love is the best thing anyone can have..nampenda sana mama angu
 
Kwakuwa bado nasoma.nilim surprise na keki siku yake ya birthday. Alifurahi sanaaaaa
 
hakuna zawadi inayolingana na hadhi ya mama.. chochote nachofanya huwa naona kama bado sijamridhisha bt wonderful enough nikimpelekea hata kilo moja ya sukari anaridhika.
mama ni mama.. sio hawa wanawake ambao hata umnunulie simu ya milioni baada yamwezi moja atakuambia ameichoka na atahitaji kuibadilisha..

LOVE YOU MAMA..
 
Back
Top Bottom