biblia!!aliyo nayo imechoka na ina maandishi madogo,nitamnunulia kubwa yenye maandishi makubwa!!!!!angekuwa muislam ningemnunula msahafu!Sure,nipe mawazo yako mkuu
asante ya mdomo haitoshi kama kweli umejaliwa kipato, kama hana gari mnunulie au muongezee lingine,nyumba nzuri kama bado anaishi kibanda cha mbwa,akaunti yake isome,suti,wax na mengineyo,kama huna kipato jikongoje kutafuta hata wax inatosha.
Zawadi gani ya kwanza au bora zaidi kumpa mama.
Duh!!!
Zawadi bora kabisa ya kumpa mama hasa wa Kiafrika ni wewe kuwa na familia bora kabisa. Mama ni shock absober wa familia zetu mara nyingi, watoto wake wakiwa na familia bora utaona mama anapanga safari kutembelea wanae. Hii ndio zawadi ya kwanza bora kwa mama ye yote. Zawadi za vitu mara nyingi huwa ni zawadi nzuri kwa baba zetu.
So wewe ulicho fanya ni kuwa na familia bora (ukaiita zawadi bora ya mama) peke yake
inatosha?
Pointi nayo chukua ni kwamba una mpa tiketi ya kuja kwako kama zawadi.
Na pili,haiwezekani akija kwako umsindikize airport/bus stand afu unaachana nae
kiukavu ukavu tu,....unacho mpa kuondoka nacho kama zawadi ndicho nacho taka kujua.
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?
Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?
Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
kwani swali la msingi lilikuwa wakupendekezee zawadi ya kumpa mama yako!!!!!naona wametoka nje ya mada au mada haijaeleweka!!!
Meeting her expectations. That is the grande gift she ever wanted from me. I played my part. Mom, i hope i am still making you proud. And i loved you ma!
kwa walio wahi ni zawadi gani walitoa na kwa ambao hawajawahi ni zawadi gani watatoa,je katka maswali hayo mawili ni swali lipi linalowafanya watu wamwambia amnunulie mama yake kanga au kitenge n.k!!!!yeye hajataka asaidiwe kupendekezewa zawadi!!!ameuliza experience yenu!!hatujatoka nje ya mada kama unavyofikiria,ww ndo hujaelewa hapo kuna maswali mawili;
we jibu unaloweza au linalokuhusu.
- kwa waliowahi
- ambao hawajawahi
kwa walio wahi ni zawadi gani walitoa na kwa ambao hawajawahi ni zawadi gani watatoa,je katka maswali hayo mawili ni swali lipi linalowafanya watu wamwambia amnunulie mama yake kanga au kitenge n.k!!!!yeye hajataka asaidiwe kupendekezewa zawadi!!!ameuliza experience yenu!!
Zawadi bora kabisa ya kumpa mama hasa wa Kiafrika ni wewe kuwa na familia bora kabisa. Mama ni shock absober wa familia zetu mara nyingi, watoto wake wakiwa na familia bora utaona mama anapanga safari kutembelea wanae. Hii ndio zawadi ya kwanza bora kwa mama ye yote. Zawadi za vitu mara nyingi huwa ni zawadi nzuri kwa baba zetu.
Hapa Shosti umenibore swali kiswahili wewe unaleta lugha ya Malkia wajua wengine tuna aleji na kiinglishi kichwa kinauma Bana Tafsiri tafadhali dear
Ndo maana nikasema meeting her expectations! Ukiwa na mawazo kama haya huwezi kuoa mwanamke kama, Natalia. Anaeona kukaa na mamako ama kutembelewa ni kadhia! When your home is a small heaven, settled and bouncy with happyness, wazazi wanafurahi kiukweli!