napita tu hapa.heri yenu wenye mamazenu... hakuna lisaa linapita bila kumuwaza my swiit mama...huwa najiuliza kwanini ilitokea,wapi tulikosea,ila hayupo tena ,sina cha kufanya tena hayupo hayupo,haki naumiaaaa,daah acha tu siku njema jamani ngoja nilog off kabisa maana ni maumivu makubwa ...usiku hakulaliki yaani moyo wangu kwa sasa umekuwa ni vurugu vurugu naumiaaaaaaaaaaaaa
Yeah na nani kasema mimi simsaidii mama yangu, nilicho ongelea hata kama nikimsaidia/kumpa zawadi, naona sijafanya kitu hizo hizo pesa utakazo mpa/zawadi unaona kama kakuwekea tu hazitumii yeye... na si ajabu ukakuta kakupa kuliko ulizo mpa mana kumbuka kina brothers na sisters na wao lazima wampe sa anapo amua kukupa pesa/zawadi anakuwa kama bank unapata faida :love:He he he,safi sana.
Ni vyema kama aliwekeza sana ili asitegemee kuomba msaada kwa watoto.
Si unajua wazazi wa enzi hizo walikua na mtazamo "Nasomesha ili nisaidiwe"....
Siku hizi ni "nasomesha kutimiza wajibu wangu,akinisaidia sawa,asipo nisaidia bado niko vizuri pia"
Inategemea tu na roho yako kijana.
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?
Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
napita tu hapa.heri yenu wenye mamazenu... hakuna lisaa linapita bila kumuwaza my swiit mama...huwa najiuliza kwanini ilitokea,wapi tulikosea,ila hayupo tena ,sina cha kufanya tena hayupo hayupo,haki naumiaaaa,daah acha tu siku njema jamani ngoja nilog off kabisa maana ni maumivu makubwa ...usiku hakulaliki yaani moyo wangu kwa sasa umekuwa ni vurugu vurugu naumiaaaaaaaaaaaaa
napita tu hapa.heri yenu wenye mamazenu... hakuna lisaa linapita bila kumuwaza my swiit mama...huwa najiuliza kwanini ilitokea,wapi tulikosea,ila hayupo tena ,sina cha kufanya tena hayupo hayupo,haki naumiaaaa,daah acha tu siku njema jamani ngoja nilog off kabisa maana ni maumivu makubwa ...usiku hakulaliki yaani moyo wangu kwa sasa umekuwa ni vurugu vurugu naumiaaaaaaaaaaaaa
Yeah na nani kasema mimi simsaidii mama yangu, nilicho ongelea hata kama nikimsaidia/kumpa zawadi, naona sijafanya kitu hizo hizo pesa utakazo mpa/zawadi unaona kama kakuwekea tu hazitumii yeye... na si ajabu ukakuta kakupa kuliko ulizo mpa mana kumbuka kina brothers na sisters na wao lazima wampe sa anapo amua kukupa pesa/zawadi anakuwa kama bank unapata faida :love:
huu ndio unaoitwa upendo wa mama. i love that aisee.Navyo fahamu mama yangu would appreciate anything, lakini hakuna anacho kifurahia zaidi ya kumtembelea haswa pale akiona vijukuu vyake, unaona yeye ndo anaenda kuvipa chips, Kitkat, sijui Ice cream na mambo mengi tu.
Afu cha ajabu mpaa mda huu nimeoa na nina mke na watoto, anaendelea kunipa pesa na wakati sina shida, mpaa nashangaa.
I want to let the world know that, I am so proud of my mother :A S thumbs_up:
Zawadi inategemea na 'culture' pamoja na unavyomfahamu mtu unayetaka kumzawadia, anachokipenda,status yake ya maisha.
Mfano. . mama Don Mangi mi hua nafahamu anapenda sana vyombo vya nyumbani beyond maelezo mfano serving bowls, cutleries tofauti tofauti pia hua anapenda mapambo mazuri ya sebuleni kama picha za nature au zilizobuniwa kisanii vizuri.
Kutoa zawadi is more of a tradition.... Uki observe katika jamii utakuta kuwa kuna watu ambao wanajua kuwa wanatakiwa watoe zawadi, anaona kuwa ni wajibu wake na hujisuta na kujilaumu sana akishindwa kutowa zawadi pale ambapo anaona inastahili kwa wapendwa na wapenzi wake.
Swali lako la msingi thou... For wengi hawajakuzwa katika utaratibu huo hivo unakuta once akiwa mtu mzima ndipo kama yupo responsible anatowa zawadi kwa mzazi iwe ni mama ama baba.
Kwa upande wangu zawadi kwa mamangu hata sikumbuki ya kwanza ilikuwa ipi... For katika familia yetu toka watoto tumejenga taratibu za kupeana zawadi, tena zawadi yenye sio lazima iwe kubwa. Zawadi zingine huwa tu kama ku express kuwa I meant to give you a gift na this is the best I could do.
Hii huwa nzuri sababu in a way ni moja ya njia ya kumfanya mwanadamu awe apprecitive of what s/he is given. Ni suala kubwa sana mtu kukumbuka na kuchukua uamuzi wa kukutafutia zawadi, ile suala tu la kusema kakufikiria is BIG kuliko hata zawadi yenyewe (some times).
Kumbe mama huwa anapewa zawadi? Duh nilisahau hii ngoja nimtafutie moja fasta
Wow,now i know what to prepare.
Asante sana,nilifikiria something special,ni ngumu kuelezea why now na sio kabla.
Lakini nimepata point ya muhimu sana toka kwenu na nitaifanyia kazi.
Nilipo shauriwa vitenge mmh,nilipata wakati mgumu kuchuja kitenge kitengeneze nini
lakini now najua,sijawahi kumuona akivaa nguo ya kitenge,au magauni,and the like.
Nimuandalie tu suti ya maana he he,she is more of trousers.
kiukweli namshukuru mungu kwa yote sema tu moyo wangu umekuwa dhaifu naamini na namuomba sana azidi kunipa nguvu,smile.... Pole na kumpoteza mama... Pole sana mdogo wangu. Ila nakupa ushauri ambao unaweza kukusaidia kukutia nguvu... Umshukuru mungu kwa kukupenda na kumpenda mama yako to the extent aliwabariki kwa baraka zake kuhakikisha umemfahamu, kakulea na kukukuza kuwa binti mkubwa mwenye kuweza kujisimamia na anae jitegemea.
Imagine role ya mama yako mpenzi katka maisha yako... Then imagine kama mama angefariki ukiwa bado ni mtoto mdogo... In a way you will understand nina maana gani.
Nisamehe kama nitakukwaza dear... I understand what you are feeling and going through. Mungu azidi kukupa imani na amani. Pamoja saana.
Zawadi kubwa ya mama ni kuwa karibu naye hasa kwa mawasiliano kama uko mbali naye. Pia kutenga muda wako wa likizo kumpelekea wajukuu zake kwenda kuwaona. Wakati huo umebeba zawadi ya kitenge, kanga na pesa ya matumizi kama uwezo unakuruhusu. Wazazi wanapenda zaidi kuwa karibu na watoto wao pale wanapokuwa watu wazima na kwajali pia. Binafsi nampenda sana mama yangu bila yeye hata maisha niliyonayo nisingekuwa nayo. Mungu azidi kumpa maisha marefu.