Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kwa nini mwanaume ndo iwa anaumia sana kugharamia mizawadi hiyo?
Usipo gharamia au kuumia basi kipepeo kinaruka kinaenda kutua sehemu nyingine.
Ni kweli mwanaume anafaidi penzi kuliko mwanamke?Kama ndo hivyo kwa nini mwanaume kama hanyoshi mkono basi na penzi linakufa.
Its true some women/gals will lure men into only giving and sometimes without chungulia net. They use it as a bait that is to say. For men with brains a first time they know this lady is a gold digger they quit.
Utasikia tu siku hizi mbona huji na nini! Kamba imekatika. Na ukimpa chance nyingine atabadili strategy hapo uta-confirm she is a gold digger. Kwa akili ya kiume ni kwamba wanapenda walau consistency ili ku-confirm jambo. Kama linajirudia lile lile they get used of it. Ila likibadilika-badilika ni hatari sana kwa mwanaume kulielewa jambo hilo. Men are creatures of consistency as GOD WHO CREATED him and not metarmorphic like women. It is a long hi-story to narrate but if christian go and read book of genesis of the Holy Bible and see how even the satan saw the opportunity only in woman.
So to write here kuna wanawake wengi wanatumia vibaya nafasi au fursa ya giving and taking in relationships. They take 99.9999% and giving the rest of the remained portion in percentage. Hata outings tu kama pia wameoana utakuta bado mume tu ndio hu-clear bills kwa sana na hasa ukizingatia wote wanafanya kazi. When it comes into finance they say its a right for men to overcome the life costs, and when it comes to getting more opportunities they say haki ya wanawake. How one can get opportunity free of charge, is it oxygen that you freely breath from the air; besides there is cost as well your lungs and energy spent to suck it from the air and it does not come free of charge. Mfano viti vya upendeleo bungeni n.k. We need we as women to be subjected to equal competitive opportunities as men ili tupate akili na busara zaidi. Otherwise wanaume watendelea kuishi nasi kwa akili hadi kiama.
Conclusively: I think women are less behind men in civilization and wisdom and most are inconsiderate. Lets agree this!
Kwanza alikuomba wakati unatoa????
hani wale wanaodai "zawadi" zirudi ni wale wenye wivu
kwamba sasa njemba nyingine ataburudika nazo. ushauri kwa
watu wa namna hii ni bora watoe zawadi zinazotumika na
kwisha sio zinazodumu.
lol waweza jinyonga kumnunulia mrembo motokaa kisha mkiachana
unaona motokaa kakabidhiwa njemba nyingine inayovinjari na madame lol
hilo ndo swala ndugu yangu!
labda iwe kwamba mliandikishiana mkataba kuwa 'penzi likifa' basi mrudishiane zawadi, vinginevyo zawadi ni zawadi na huwezi kuidaa baadaye
Mshiiri,
I don't agree totally with your summation. It's not fair to generalize. Not all women/gals are gold diggers and do actually pay the bill and even take their man out.
But then when the woman shows that kind of thoughtfulness the man feels belittled, issues regarding respect start to crop up.
Most men want to be respected and highly esteemed, and to be looked upon, as responsible hence the various gifts that the men will bestow on their partners. So giving of gifts ultimately rests on the guy, however this does not mean that women should not reciprocate. I believe that women should also buy gifts for their men as a sign of appreciation for the love and gifts.
Every body enjoys getting a gift. Gifts are always meaningful for the giver and the receiver.
I think it's tacky to expect ones gifts back when the romance is over.
Most important is that, when you first meet someone it wise to gauge their disposition...if they are self absorbed/selfish/self centered i would suggest for one to run like the devil is on your heels...These type of people always wait to recieve.
Watu wengi tu wanapokuwa na wapenzi huwapa zawadi mbalimbali wapenzi wao. Inategemea mtu ana uwezo gani. Wengine wamekuwa wakitoa zawadi kama TV, Radio, Music system, Sofa, Gari, Kiwanja na hata nyumba hii ama ni kupalilia penzi ama in return for wonderful love they had together. Uhusiano ukivunjika, kwa namna yoyote ile, Je, Ni halali kurudisha hii ama hizi zawadi?
Have a lovely weekend.
Thanks Nyaralego I agree with you totally BUT do not please misquote as I started my summation with a phrase It is true some women/galz.
Once again thanks for being so reasonable and if you are a sex female you are true woman. Cheers
hilo ndo swala ndugu yangu!
labda iwe kwamba mliandikishiana mkataba kuwa 'penzi likifa' basi mrudishiane zawadi, vinginevyo zawadi ni zawadi na huwezi kuidaa baadaye
Kama mkataba ni kurudishiana zawadi, basi hata zile zilizobakia ndani ya.... nazo achukue asiache,,,, ooops! sorry