miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
uko sawa we si mchaga
asante mkuu
uko sawa we si mchaga
Tia mimba tuu na azae mtto iyo zawadi haisaulki milele.
Tena akiwa copy yako ndo kabisa an .
Tena wengi ninaowadanganya ni wakubwa kuliko unavyofikiri wewe,tatizo ni kwamba hujaweza kuwa access wewe ila kwangu inatokea several times.
Basi kama ni wakubwa ni maumbile yao ndio makubwa, ila kichwani wana akili za O-level.
Au watakuwa too local, hawana exposure. Haiwezekani demu classic umpelekee zawadi eti vichocolate sijui vichupi and the likes...mtagombana!
Wanaume wa kweli tunapeleka jewels tena genuine. Kuchoma Milioni tano kwa mtoto mzuri sio ishu. Sasa demu classic unampelekea zawadi ya Tshs 250 au jero, kweli? Halafu unadanganya watu kuwa atakukumbuka, kwa jero?

kweli mkuu copy,mana sku hizi wanachepuka sanaTia mimba tuu na azae mtto iyo zawadi haisaulki milele.
Tena akiwa copy yako ndo kabisa an .
Unachoma Mil 5 kwa ajili ya K? We kweli mburula..hahaha eti mwanaume wa kweli, mwanaume wa kweli yule anayeenda kugawiwa nusu au kupewa yote hiyo m 5.
Hivi perfume classic ni sh 250? Halafu umekariri kuwa wanawake wote wanapenda hivyo ulivyovitaja vya gharama eti tu kwakuwa ni wakubwa?
Wanawake wanataka zaidi thamani ya kupendwa tu kutoka rohoni kuliko thamani ya material things, kasoro miss chagga
Yani dume zima unakubali kupokea hela kutoka kwa mwanamke!!!?
Kwa tabia hiyo hushindwi kupokea pia za wanaume wenzio na mwisho wa siku unaweza kukojolewa kwenye mfereji wa maji taka ukiendekeza hiyo tabia ya kichoko.
Ni mabwabwa tu ndio upokea pesa za mademu.
Labda huelewi neno 'classic' maana yake ni nini!
Na kwa upeo wako huo naanza kujua wewe ni mtu wa level ipi!
Kwa jinsi ulivyo too local, am sure hata makazi yako yatakuwa Mabibo, Manzese, Temeke and the like.
Ila kama ukisogea pande za Mikocheni, Mbezi beach, Masaki na O-bay huwezi kukuta wanawake wa level yako ambao watakubali hivyo vizawadi vya chupi na chocolate!
Mademu wa huko kwenu ndio watashangilia sana na kujiona ni wenye kupendwa kama utampelekea G-string na bikini kadhaa.
Ila hawa classic, ukitaka muelewane, inabidi kweli wallet yako iwe na kitambi cha pesa na sio vitambulisho vya taifa na vya kupigia kura.
Pia usijishtukie kuspend. Just spend it. Ni mwendo wa cash-out-flow tu ukiwa nao. Halafu kawaida sana.
Nadhani hapo kidogo utakuwa umepata picha ya ulimwengu wangu kijana.

Yani chupi nayo ni zawadi ya kukumbukwa jamani,na sie tunaotoa zawadi za BMW tusemeje?
Ni kweli tunapenda vitu vidogo vidogo lakini na vikubwa viwepo!!!
ILA Ukimt...... vizuri hatakusahau hata akiolewa labda apate mkunaji zaidi yako.
Tia mimba tuu na azae mtto iyo zawadi haisaulki milele.
Tena akiwa copy yako ndo kabisa an .
weweweeee mtoto weeee acha izo mm uko sipo. katika watu wanaopenda
zawadi nipo ila kivip?
1: naamini mwanaume mf wa type yangu lazima awe busy kiasi sasa mda wa
kununua kyupi atatoa wap? so itabidi atume mpesa ya kutosha siku
akinimisi kuniona ndo anapitia na izo chocolate
sio mwanaume na body lako zima/ stamina yoote unabeba chocolate/kyupi tu
kumbe hata hujatanguliza " something to pave the way?"
2: mwanaume wa ukweli anatuma chochote kabla then baadae ndo anakuja
kujazilishia na izo kyupi na chocolate.
3 mim napenda kuhonga nguo/viatu/saa etc coz napenda mme smart . sasa
unafiikiri iyo hela inatoka wap? probably kwenye iyo mpesa alonitumia.
wewe mleta uzi acha kujiliwaza eti ukitoa ivyo vijizawadi mdada
anachekacheka sio ivo bila kisafisha njia (sente) hicho kicheko ni cha
kinafiki.
BMW umetoa kwa mademu wangapi mpaka umefikia huo umri ulionao sasa????
Yaani Ndugu zako watakao kuzika na kukuuguza pindi utakapokua unaumwa umewasaidia wangapi mpaka utoe BMW kwa kupewa
vitumbua tu.
Msipende kutafuta umaarufu kwa vitu ambavyo havina manufaa katika familia zenu bhana.
Yaani unatumia pesa nyingi kununua vitumbua halafu Ndugu zako kule kijijini kwenu wanashindwa hata kumudu gharama za hospitali.
Yaani mauti yanapokukuta watu wanaanza kujadili sifa za marehemu;
"Eti marehemu alikua mhongaji mzuri sana....."