Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

sasa we kila siku nikikutana na ww nakuona unakuja na chupi ile ile..why nisikununulie

Mkuu,mwanamke wewe mnunulie tu chupi nyingi sana tena usichoke,inapendeza kwakweli.
 
Imagine unaposafiri ukienda kijijin kwenu kati ya pesa na zawadi kipi kinafurahiwa na kinabakia kwenye kumbkumb yao.

Ni kitu kitakachoendelea kuonekana machoni na kutumiwa,kwasabb pesa tunatafuta kila siku na zinaisha tuu.
 
Bila shaka wanawake unao wazungumzia hapa ni watoto wa shule tena O-level. Acha ubakaji kwa kudanganya watoto wadogo kwa chocolate.

Kama wewe ni kijana wa above 30...nakushauri ufanye kazi kwa bidii sana ili walau uonge gari, halafu uone kama mwanamke atakusahau.

Tena wengi ninaowadanganya ni wakubwa kuliko unavyofikiri wewe,tatizo ni kwamba hujaweza kuwa access wewe ila kwangu inatokea several times.
 
Mmmh!!,mchaga na hela ni kama samaki na maji, ugonjwa utawaponza nyie, siku ingine unapewa hela unaachia kote kote, utajuta aaaayah.
 
Ni kweli tunapenda vitu vidogo vidogo lakini na vikubwa viwepo!!!
ILA Ukimt...... vizuri hatakusahau hata akiolewa labda apate mkunaji zaidi yako.

Wewe siyo wa kwanza kulikiri..... Hivyo hapa naona kutakuwa na kutombeana na kutombewa mpaka Ngoma utumalize wote.
 
basi usituweke kwenye kundi la vichokoleti bana
sie miamala tu baasi

Dada yangu mnavyosema hivyo mnatuumiza sana mioyo tusio na uwezo mkubwa wa kununua Ma jeep, Range etc jaribuni kuwa huruma japo tone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom