Humilis
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 920
- 1,154
Wanawake wengi hawalijui hili mkuu,halafu mimi huwa najiuliza hivi mwanamke huwa anataka nini kwa Mwanaume ni kupendwa,kuwa cared na kuridhishwa au ni pesa tu? Hakika anayetaka pesa tu hajui nini maana ya Mapenzi.
Kibongobongo ni pesa tu...hawathamini CARE & TRUE LOVE.