Zikiwa zimetoka kwa mshamba kama wewe natumia tu, mshamba unavamia mji kujifanya unajua kuonga wajanja tunakuchora tu si wabebez wa ukweli wanatuelewa hatutumii nguvu. Tunawamega tukichoka wanabaki masela wetu wakuja kama nyinyi mkija na vihela vyenu vya mavuno wanatuomba consultancy jinsi ya kuwafundisha mji.
Mwanaume unayetumia pesa nyingi ili umpate mwanamke ujue haujatimia ndio maana unawapata na ku wa retain kwa pesa ili kucompaset ufoo wako.
Kuhusu kama mii ni ***** au vp kamlete bimkubwa wako atakuhadithia mzk wangu wa msweden.
Yaan wewe sasa ndio umeingia chaka.
Kwa taalifa yako demu wa o-bay,maskai,mbezi beach n the like hababaikii vishow off vyako,kaanza kuspend allot toka anajifunza kutembea utampa nini kipya wewe kisichokuwepo kwao umvuruge kichwa chake!!!!!.
Hao ngumbalu wenye wasi wasi na future yao ndio wanapapatikia mitoko ya million million u know.anajua akishoboka atavaa cheni ya mill coz haijui hata inafananje,atapelekwa samakisamaki zikaliwe mishikaki kadhaa,klm hotel etc.
Tehh tehh tehh unaenda kukutana nae siku ya kwanza uko ndani ya mark x,kumbe mwenzio siku hiyo ndio kaletewa bmw x6 zawadi ya kumaliza shule na kupata kazi salama.anaamua anzie kutoka nalo kwenye wito wako.
Niambie utampa nini huyu zaidi ya kuonyesha unampenda kwa zawadi ndogo ndogo??
Sifanyi Huo ----- Wakuhonga Mdada Malaki Mie!Bora Hizo Pesa Nimpe Dadangu Akalege Chips Na Mishkaki Shule!
usigeneralize weengine utupe pesa maswala ya kunijazia droo yangu michupi bora unipe pesa ni save nije nifanyie kitu kikubwa
Ni kweli tunapenda vitu vidogo vidogo lakini na vikubwa viwepo!!!
ILA Ukimt...... vizuri hatakusahau hata akiolewa labda apate mkunaji zaidi yako.
du kweli wewe ni miss chaga aka mchaga halisi, pesa mbele
Pesa mbele kama tai