Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

Zawadi hizi ukimpa binti atakukumbuka

Ni kweli mm nashuhudia saiz dogo 1 anaomba mafuta nywele
 
Imagine unaposafiri ukienda kijijin kwenu kati ya pesa na zawadi kipi kinafurahiwa na kinabakia kwenye kumbkumb yao.
 
Bila shaka wanawake unao wazungumzia hapa ni watoto wa shule tena O-level. Acha ubakaji kwa kudanganya watoto wadogo kwa chocolate.

Kama wewe ni kijana wa above 30...nakushauri ufanye kazi kwa bidii sana ili walau uonge gari, halafu uone kama mwanamke atakusahau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom