Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 361
- Thread starter
- #81
Ona ulivyo mshamba nani kakudanganya wote wanaokaa tmk manzese mabibo ni local? Na wanaokaa obay mikocheni ni classic wote? we wa wapi acha kujivua nguo.
Eti demu classic unawajua ata mademu classic wewe? Demu classic unaweza kumshawishi na gia zako za kiboya hizo.
Mkuu,huyo jamaa ana madharau sana na nadhani anataka apate sifa kwa wanawake wachangiaji humu ndani.
Hebu angalia anavyochangia eti waliotoka maeneo hayo ndio wapo local,watu wanaojiweza vizuri huwa hawana masifa ya hovyo...wallah nakuambia huyo hana lolote.