Zawadi for my baby

Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.
Tena natamani aone hii thread ajifunze wanaume wenzake wanafanya nini uwezo anao tena mkubwa tu

Ooh dear,pole inaonekana ni kitu kinakukwaza si umwambie tu wengine mpaka wakumbushwe hivyo hivyo....
Jinsi unavyojiweka pia matters...
 
Hebu nishirikishe kidg mzinga kwako unaanzia sh ngapi?
Hata ya daladala jamaniii... Huo sasa ni mkono wa birika

Hio ndio nakukimbia kabisaaa coz u become too cheap! in short vizinga ni turn off....ukiwa na shida mara moja moja kusaidiwa sio mbaya....ila sio leo baby nataka simu,baadae nataka kwenda saloon kesho niongezee kodi,keshokutwa naomba hela ya gauni na viatu sare ya kitchen party.....
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Hapo ahongwe murano, v6, v8, prado, wilaya n.k kama unajiaminisha kwa spacio...cha muhimu awe anakupenda kweli
 
Ooh dear,pole inaonekana ni kitu kinakukwaza si umwambie tu wengine mpaka wakumbushwe hivyo hivyo....
Jinsi unavyojiweka pia matters...
Asante brenda18 huwa namkumbusha japo indirectly lakini bado cha ajabu x wake bado anamuhudumia kwa kisingizio kuwa alizaa nae so hawezi kuacha kumuhudumia. Nyumba nzima kapangishiwa na usafiri kapewa mimi naishi kwenye chumba kimoja tu wala hajatoa hata cent moja ya kodi. Miezi mitatu imepita toka anipe elf 30 ya mwisho
 
Last edited by a moderator:
Hio ndio nakukimbia kabisaaa coz u become too cheap! in short vizinga ni turn off....ukiwa na shida mara moja moja kusaidiwa sio mbaya....ila sio leo baby nataka simu,baadae nataka kwenda saloon kesho niongezee kodi,keshokutwa naomba hela ya gauni na viatu sare ya kitchen party.....

Hahahaa, ofcoz siwez kukuomba hela ya nauli ila I expect utanipa bila kuomba....
Hio mizinga mnayopigwaga kizembe hivyo poleni sana sijui mnawapata wapi hao wadada wasio na aibu....
Once in my life niliwahi mpiga mtu mzinga tena humuhumu jf,kuna watu wanatoaji sijui na kwa ndugu zao wanagawa kirahisi hivyo...
 
Asante brenda18 huwa namkumbusha japo indirectly lakini bado cha ajabu x wake bado anamuhudumia kwa kisingizio kuwa alizaa nae so hawezi kuacha kumuhudumia. Nyumba nzima kapangishiwa na usafiri kapewa mimi naishi kwenye chumba kimoja tu wala hajatoa hata cent moja ya kodi. Miezi mitatu imepita toka anipe elf 30 ya mwisho

Ooh baby,hebu wacha kufikilia mfuko wake,potezea kabisa habari ya pesa yake ili isikuumize...
 
Last edited by a moderator:
Wazazi qako umewajengea nyumba? Wana hata pikipiki? Kama hivi havipo nikupe pole afu kumbuka demu sio mke 95% ya waliosemsha mademu badae walipigwa chini
 
Umesema yuko chuo? Jipe moyo. Unless ka na gari unaliosha mwenyewe
 
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf
hahahahhaa umenichekesha pole mwaya
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, ofcoz siwez kukuomba hela ya nauli ila I expect utanipa bila kuomba....
Hio mizinga mnayopigwaga kizembe hivyo poleni sana sijui mnawapata wapi hao wadada wasio na aibu....
Once in my life niliwahi mpiga mtu mzinga tena humuhumu jf,kuna watu wanatoaji sijui na kwa ndugu zao wanagawa kirahisi hivyo...

Aaaah Brenda si ndio kila siku humu tunapigana vijembe kuhusu kutoa hela za vizinga na mnatetea kuwa ni halali yenu??!! Huku huku mitaani wamejaa kibao type hizo,ila mimi ukiwa mtu wa sindano nasepa,sitoi kizembe zembe....
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
Wenzio wanamla kisela kwa ndimu na chumvi tu... we lila ada peleka na magari.... hilo gari litatumika kutufikisha geto la masela
 
Aaaah Brenda si ndio kila siku humu tunapigana vijembe kuhusu kutoa hela za vizinga na mnatetea kuwa ni halali yenu??!! Huku huku mitaani wamejaa kibao type hizo,ila mimi ukiwa mtu wa sindano nasepa,sitoi kizembe zembe....

Mizinga ya kuomba hela ya saluni?au Nguo!au kiatu aah hio siwezi kuisuport,hivyo ni vitu ambavyo ni lazima binafsi nijitegemee unless my baby wants to spoil me it won't hurt....
Jamaniii mizinga iwe ya maana and wen necessary nikikwama kabisaa ndio ntasema biashara ikienda vibaya etc etc hata mtoaji anaelewa hela inapoenda hawezi kugoma kutoa
Sio mizinga ya kukomeshana...
Ila pia ubahili mbaya,napenda mtu mtoaji mimi pia mtoaji,zawadi sio mpaka ukumbushwe unromantic lol.....
 
Demu anachukuliwa na gar tunaendesha.kwan ww ulimpataje?chuoni hakunaga dem wa mtu..
 
Hahahhahahahahahhahahahahahahha.....mkuu akija kukutosa useme,maana unafanya majukumu ya wazazi wake...
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Weka picha ukimzawadia, sio maneno tu, au unatafuta mademu humu?
 
Mizinga ya kuomba hela ya saluni?au Nguo!au kiatu aah hio siwezi kuisuport,hivyo ni vitu ambavyo ni lazima binafsi nijitegemee unless my baby wants to spoil me it won't hurt....
Jamaniii mizinga iwe ya maana and wen necessary nikikwama kabisaa ndio ntasema biashara ikienda vibaya etc etc hata mtoaji anaelewa hela inapoenda hawezi kugoma kutoa
Sio mizinga ya kukomeshana...
Ila pia ubahili mbaya,napenda mtu mtoaji mimi pia mtoaji,zawadi sio mpaka ukumbushwe unromantic lol.....

hapa tunaenda sawa......hasa hasa hapa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom