Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
4,045
5,621
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
 
Hata utoe nyumba kama hujiwezi kitandani unakimbiza upepo,alafu huo ushamba mbwembwe na sifa za kijinga,angekua mke tungesema yeess umefanikiwa kutunza ndoa na mapenzi yako juu,girl friend?hahaaa labda wangekua na plate number ingesema niwako unalipia TRA
 
Kibamia kitamsaidi nini?
 
Ukitendwa uje ujitape hapa....

Anyway hongeera kwa kumpa zawad, mchumba hasomeshwi.
 
Hata utoe nyumba kama hujiwezi kitandani unakimbiza upepo,alafu huo ushamba mbwembwe na sifa za kijinga,angekua mke tungesema yeess umefanikiwa kutunza ndoa na mapenzi yako juu,girl friend?hahaaa labda wangekua na plate number ingesema niwako unalipia TRA

Kajiroge pale kama hakuaibishi udsn wote wajue
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom