Zawadi for my baby

Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.
Niliwahi soma mahali flani, kwenye birthday party ya star mmoja Mwenzake alipeleka verosa akakuta mwingine katanguliza discovery.
 
Nakuhurumia kaka yangu,wote tumesoma pale,hizo 100%unazojipa utarudi hapa mbio sasa hivi.kwa umri sidhani kama ni mzoefu kwenye hizi habari,hebu kapate uzoefu kwanza
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Mpe tu kwetu raha umetupunguxia shida ya usafiri na kutoa mwanya mzuri zaidi ktk ile issue maana tukichoka kule gheto ht humohumo poa tu. Ahsante mkuu
 
Na kadi umkabidhi ili siku ukikuta wenzio wamepaki vogue usiulize chenji iliobaki.
 
bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
mafuta nagharamia
service nagharamia
ada ya chuo nagharamia
hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

ufundi kunako 6kwa sita kutafanya niichukue gari yako kilaini nakuitumia kama yangu hasa utakapotoka nje ya dsm
 
Bado humwelewi mtu mwanamke,kama alikwambia ili asichepuke umununulie gari au umulipie ada basi hapo kakudanganya,mwanamke anavyohtaji ni zaidi ya hivyo.
Cha kukusaidia mpige mimba ili atlest uwe na aman japo nayo ni ya mda.

Kuchepuka kwa mtu ni tabia,hulka au tatizo frani hupelekea kufanya hivyo,kwa hiyo gari na ada sio sababu ya kutokuchepuka kwake.
 
Of course mimba lazima asee ili nimfunge kabisaaa
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia

Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole
HAPO KWENYE RED...
  1. Unakuta mtu kama huyu mama yake yuko kijijini analala nyumba inavuja mvua ikinyesha.
  2. wadogo zako wanarudishwa ada kila siku, ukiambiwa unasema pesa huna
  3. wadogo zako wanasoma shule ya kata
  4. Unaishi kwenye nyumba ya kupangisha
  5. ndugu zako wakiomba msaada unawakimbiza, unasema huna
  6. mbaya zaidi kama demu yuko chuo (hasa hapo udsm) unakuta anatoka na lecturer, ana sharobaro wake chuoni (kama watano hivi..)
  7. ........
  8. ........
ushauri: mchumba/demu hasomeshwi (hili ni time bomb...) watano hivi..)........
........
ushauri: mchumba/demu hasomeshwi (hili ni time bomb...)
wewe unahonga gari tena spacio, wenzako hawaongi na wanapiga kama kawa... MAPENZI NI ZAIDI YA KUHONGA..
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

nipe namba zake aje akusmlie magori
 
Kuna dem mmoja alihongwaga gari chuo mi ndio nikawa nalitumia... Duh Hongera zake. Hongera na kwa wanufaika wengine watakaokuwa wanapata lift... Kweli 'dada' yetu kapata bahati...
 
Ukitendwa uje ujitape hapa....

Anyway hongeera kwa kumpa zawad, mchumba hasomeshwi.

hahha umeona eeh.. nilitaka sema huo msemo that hasomeshwi. anajiona kamueza kumbe nae dem anamuona kamueza kwa kumchuna.lol.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom